Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi.

Akijibu swali la mmoja wa washiriki wa mkutano huo amesema amepata simu kutoka kwa watu wa usalama wa Taifa na serikali wakisema suala la kupaza sauti lifanywe na upinzani kwa kuwa walioko serikalini hawawezi kupaza sauti ambapo itakuwa ni sawa na kupinga maazimio ya serikali.

Mbowe amesema mtu yoyote mwenye akili timamu anajua mkataba wa DPW una tatizo kubwa lakini ukihoji wanaleta propaganda kuwa watu ni wabaguzi aidha kwa mlango wa dini au uzanzibar. Hili suala ni zaidi ya masuala ya dini na utanganyika.

Amesema kwa maslahi ya Taifa wanaoona watu wanapinga wasidhani kuwa wanapinga kwa chuki au wivu.

Hili zee bana ,sijui kwa nini lianamini sana kuhusu ukanda na udini
 
Na wanadai katiba mpya wakiamini kuwa ndio wataweza kurejea bungeni
Hoja mufilisi. Kwani wakiamini hivyo wewe kinakuuma nini. Ni kweli katiba ikiwa sawa na uchaguzi ukiwa fair watarudi tena wengi tu. Naona umejaa hofu sana juu ya hilo. Bila shaka wewe ni mbunge uliyeingia kwa kubebwa.
 
Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi.

Akijibu swali la mmoja wa washiriki wa mkutano huo amesema amepata simu kutoka kwa watu wa usalama wa Taifa na serikali wakisema suala la kupaza sauti lifanywe na upinzani kwa kuwa walioko serikalini hawawezi kupaza sauti ambapo itakuwa ni sawa na kupinga maazimio ya serikali.

Mbowe amesema mtu yoyote mwenye akili timamu anajua mkataba wa DPW una tatizo kubwa lakini ukihoji wanaleta propaganda kuwa watu ni wabaguzi aidha kwa mlango wa dini au uzanzibar. Hili suala ni zaidi ya masuala ya dini na utanganyika.

Amesema kwa maslahi ya Taifa wanaoona watu wanapinga wasidhani kuwa wanapinga kwa chuki au wivu.

Fimbo ya mbali haiui nyoka. Hawa jamaa walitakiwa kuwa on the ground wakitetea hoja yao pamoja na vijana walioandamana kuwaunga mkono. Sasa nao wanaanza kuwa kama Vasco da Gama.

Amandla...
 
Kwa hiyo akiwa hajui kinachoendelea ndo hawezi kupata hasara? Hivi hizi akili za wapi ni sawa na kusema usihukumiwe kisa hujui kama kosa ulilofanya ni kuvunja sheria you are doomed!
 
Hawa jamaa ni wajinga, Katiba mpya huwa inalazimishwa na haiji kwa hiari hata siku moja, mtasubiri mpaka mchoke, lkn kwa hiari hakuna Katiba mpya, ukiniuliza mimi kwanza mmeshapoteza chuma hukunjwa kikiwa cha moto mmeshasubiri mambo yameshapoa hivyo hakuna Katiba, mlikuwa na uwezo wa kulazimisha kipindi ambacho kulikuwa na sintofahamu ya raisi mpya mkadanganywa na kuchezewa sasa mambo yameshastabilize hakuna atakaye wasikiliza, kuna sababu kwa nini wamekimbilia Uarabuni wanajinasua na Wazungu, hivyo its too late, mmechelewa, timing is every thing in life, isitoshe upande mwingine pia mmeacha majeraha hivyo ni ngumu kupata sapoti, mmechelewa, …
Wewe umesaidia Nini kwenye kulazimisha?maana hili ni jukumu la wote sio lamtu mmoja au kikundi Fulani tu.
 
mwanaume kazini mtu wa siasa safi mwendazake alijaribu kumuondoa alishindwa akaondoka yeye tupambanie tunaoshjndwa kusema Mbowe Mungu akulinde
 
Kama usalama wa taifa wanampigia mbowe simu na kumuambia yeye ndio apaze sauti basi nchi hii sio salama.

Kwani kazi ya usalama wa taifa kama hilo jina linavyotamkwa ni nini?

Kwa kusema hivyo maana yake rais au kiongozi anaweza fanya lolote bila wao kuzuia au kuwa na sauti??

Kwamba na wao ni kama sisi tu ambao tunasubiri wanasiasa watuongelee?

Kwa hiyo kesho rais akaiamka akitaka kubinafsisha idara yao kwa wengine wao hawana say yoyote? maana nchi inajiendea ambapo wao ndio jukumu namba moja kuirudisha kwenye mstari ila ndio kwanza wanampigia mbowe simu.
 
Hawa jamaa ni wajinga, Katiba mpya huwa inalazimishwa na haiji kwa hiari hata siku moja, mtasubiri mpaka mchoke, lkn kwa hiari hakuna Katiba mpya, ukiniuliza mimi kwanza mmeshapoteza chuma hukunjwa kikiwa cha moto mmeshasubiri mambo yameshapoa hivyo hakuna Katiba, mlikuwa na uwezo wa kulazimisha kipindi ambacho kulikuwa na sintofahamu ya raisi mpya mkadanganywa na kuchezewa sasa mambo yameshastabilize hakuna atakaye wasikiliza, kuna sababu kwa nini wamekimbilia Uarabuni wanajinasua na Wazungu, hivyo its too late, mmechelewa, timing is every thing in life, isitoshe upande mwingine pia mmeacha majeraha hivyo ni ngumu kupata sapoti, mmechelewa, …
Unavoongea sasa, utadhani jukumu la kudai katiba mpya ni la wengine na wewe haumo!
 
Hawa jamaa ni wajinga, Katiba mpya huwa inalazimishwa na haiji kwa hiari hata siku moja, mtasubiri mpaka mchoke, lkn kwa hiari hakuna Katiba mpya, ukiniuliza mimi kwanza mmeshapoteza chuma hukunjwa kikiwa cha moto mmeshasubiri mambo yameshapoa hivyo hakuna Katiba, mlikuwa na uwezo wa kulazimisha kipindi ambacho kulikuwa na sintofahamu ya raisi mpya mkadanganywa na kuchezewa sasa mambo yameshastabilize hakuna atakaye wasikiliza, kuna sababu kwa nini wamekimbilia Uarabuni wanajinasua na Wazungu, hivyo its too late, mmechelewa, timing is every thing in life, isitoshe upande mwingine pia mmeacha majeraha hivyo ni ngumu kupata sapoti, mmechelewa, …
Kwanini unasema hawa jamaa, wewe kama mtanzania wajibu wako ni nini au umefanya kipi au wewe haya hayakugusi kwa namna yoyote?
 
Hoja mufilisi. Kwani wakiamini hivyo wewe kinakuuma nini. Ni kweli katiba ikiwa sawa na uchaguzi ukiwa fair watarudi tena wengi tu. Naona umejaa hofu sana juu ya hilo. Bila shaka wewe ni mbunge uliyeingia kwa kubebwa.
Unadhani kila mtu ni mwanasiasa anaetegeme siasa kuwa ajira kama hao wajinga wa cdm?
 
Back
Top Bottom