Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

Unadhani kila mtu ni mwanasiasa anaetegeme siasa kuwa ajira kama hao wajinga wa cdm?
Kama hujui kuwa siasa ndio inaamua wewe ushije bila kujali kama umejiajili au umeajiliwa, wewe ni inept. Na kuendelea kujibizana na wewe ni kupoteza muda.
 
Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi.

Akijibu swali la mmoja wa washiriki wa mkutano huo amesema amepata simu kutoka kwa watu wa usalama wa Taifa na serikali wakisema suala la kupaza sauti lifanywe na upinzani kwa kuwa walioko serikalini hawawezi kupaza sauti ambapo itakuwa ni sawa na kupinga maazimio ya serikali.

Mbowe amesema mtu yoyote mwenye akili timamu anajua mkataba wa DPW una tatizo kubwa lakini ukihoji wanaleta propaganda kuwa watu ni wabaguzi aidha kwa mlango wa dini au uzanzibar. Hili suala ni zaidi ya masuala ya dini na utanganyika.

Amesema kwa maslahi ya Taifa wanaoona watu wanapinga wasidhani kuwa wanapinga kwa chuki au wivu.
Anao ushahidi au anajisemea tu kama ilivyo kawaida yao kubwabwaja

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka. Hawa jamaa walitakiwa kuwa on the ground wakitetea hoja yao pamoja na vijana walioandamana kuwaunga mkono. Sasa nao wanaanza kuwa kama Vasco da Gama.

Amandla...
Kituo kinachofuata ni Geita na Kanda ya ziwa kwa ujumla. Moto utawashwa huko, kwenye siasa the more excitement you create ndio attention itaongezeka siku ukiongea.
 
Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi.

Akijibu swali la mmoja wa washiriki wa mkutano huo amesema amepata simu kutoka kwa watu wa usalama wa Taifa na serikali wakisema suala la kupaza sauti lifanywe na upinzani kwa kuwa walioko serikalini hawawezi kupaza sauti ambapo itakuwa ni sawa na kupinga maazimio ya serikali.

Mbowe amesema mtu yoyote mwenye akili timamu anajua mkataba wa DPW una tatizo kubwa lakini ukihoji wanaleta propaganda kuwa watu ni wabaguzi aidha kwa mlango wa dini au uzanzibar. Hili suala ni zaidi ya masuala ya dini na utanganyika.

Amesema kwa maslahi ya Taifa wanaoona watu wanapinga wasidhani kuwa wanapinga kwa chuki au wivu.

Hata Samia moyoni hautaki huu mradi ila basi tu
 
Suala la dini katika utendaji wa Samia linatoka wapi??Kwan Samia kuwa ni muislam imekuwa shida??
 
Kwenye huu mkataba wa hovyo ccm imejipaka tindikali
CCM dude uchaguzi si unakuja mtapoteana humu, kweli kabisa unadhani Chadema hawa wanaoruka kile dimbwi ndio wapewe nchi? ujinga tu wote njaa tu
 
Watumishi wa umma kibao hawakubaliani na huo upuuzi

Pili wanasemaga Saa 100 ameshashindwa uongozi

watumishi wa uma ni wapuuzi tu, acha kuwazungumza kama ni watu wenye umuhimu flani kwenye jamii
 
Kwahiyo unashauri Nini kifanyike?
Ukitaka ushauri wangu ni simple sana, wanaotaka katiba mpya wana malengo yao ya wazi fursa ya kuweza kupata madaraka na wanaotaka katiba zamani pia ina maslahi kwao ila hakuna hata mmoja anayetaka katiba mpya kwa ajili ya maendeleo ya nchi, katiba ni muongozo tu wakushindana kisiasa na madaraka shida yetu ni lazima tuwe na sera imara za kiuchumi katika hali ya muendelezo. Sasa kwanini nasema ngumu kuitoa CCM, hata hao wapinzani ni wale tu waliokosa fursa CCM mfano mdogo tu Dr Slaa wa wakati ule wa Chadema na yule aliyekuwa balozi na huyu wa sasa utasema ni watu tofauti hao ndio wapinzani. CCM wamejikita na mizizi yao mikubwa kuanzia nyumba moja moja mpaka mitaa sijui jeshini, usalama wa Taifa wako kila sehemu sasa niambie utawatoa namna gani? kura yako wala sio muhimu wewe kapige tu matokeo wanapanga tu huo ndio ukweli na wakitaka kukupa viti kiasi fulani bungeni wanakupa na wakitaka kuchukua vyote wanachukua tu kama JPM alivyofanya simple...
 
Ni kwa namna gani tutakuwa na sera imara za kiuchumi katika hali ya mwendelezo kama ulivyoshauri wakati watu kama akina king msukuma, mwijaku, babu tale, kibajaj, ndio wasemaji wa CCM iliyojikita mizizi hadi huko ulikotaja huku wakiwa na Elimu ya hapa na pale?
 
Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi.

Akijibu swali la mmoja wa washiriki wa mkutano huo amesema amepata simu kutoka kwa watu wa usalama wa Taifa na serikali wakisema suala la kupaza sauti lifanywe na upinzani kwa kuwa walioko serikalini hawawezi kupaza sauti ambapo itakuwa ni sawa na kupinga maazimio ya serikali.

Mbowe amesema mtu yoyote mwenye akili timamu anajua mkataba wa DPW una tatizo kubwa lakini ukihoji wanaleta propaganda kuwa watu ni wabaguzi aidha kwa mlango wa dini au uzanzibar. Hili suala ni zaidi ya masuala ya dini na utanganyika.

Amesema kwa maslahi ya Taifa wanaoona watu wanapinga wasidhani kuwa wanapinga kwa chuki au wivu.

Kengeza at work. Walivyokuwa wanatoa mimacho kumtukana Dkt Magufuli mpaka umauti wake na kushangilia kifo chake hivi ni nani atawaamini kuwa wanalenga maslahi mapana ya nchi???? Kengeza akae atulie Rais Samia afanye kazi ya kuleta maendeleo, mkataba wa DP World hauna tatizo na LAZIMA utekelezwe! Asiyetaka ahame nchi!
 
Back
Top Bottom