Mbona sikuelewi unasema nini mkuu 'Dawa'?Yani chadema ipoteze fursa muhimu kuhusu kstiba mpya kisa makuwadi ya warabu yamesema, broad day light dream.
Una maana wewe unadhani akili yangu inawategemea hao unaowaita "makuwadi ya waarabu"?
Unachosema hapa ni kwamba sina uwezo wa kutambua ninachokiona mwenyewe kwa akili zangu?
Ngoja nikuache, nipo kwenye 'mood' nzuri, lakini siku nyingine usirudie upumbavu huo.