Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

Hili zee bana ,sijui kwa nini lianamini sana kuhusu ukanda na udini
 
Na wanadai katiba mpya wakiamini kuwa ndio wataweza kurejea bungeni
Hoja mufilisi. Kwani wakiamini hivyo wewe kinakuuma nini. Ni kweli katiba ikiwa sawa na uchaguzi ukiwa fair watarudi tena wengi tu. Naona umejaa hofu sana juu ya hilo. Bila shaka wewe ni mbunge uliyeingia kwa kubebwa.
 
Fimbo ya mbali haiui nyoka. Hawa jamaa walitakiwa kuwa on the ground wakitetea hoja yao pamoja na vijana walioandamana kuwaunga mkono. Sasa nao wanaanza kuwa kama Vasco da Gama.

Amandla...
 
Kwa hiyo akiwa hajui kinachoendelea ndo hawezi kupata hasara? Hivi hizi akili za wapi ni sawa na kusema usihukumiwe kisa hujui kama kosa ulilofanya ni kuvunja sheria you are doomed!
 
Wewe umesaidia Nini kwenye kulazimisha?maana hili ni jukumu la wote sio lamtu mmoja au kikundi Fulani tu.
 
mwanaume kazini mtu wa siasa safi mwendazake alijaribu kumuondoa alishindwa akaondoka yeye tupambanie tunaoshjndwa kusema Mbowe Mungu akulinde
 
Kama usalama wa taifa wanampigia mbowe simu na kumuambia yeye ndio apaze sauti basi nchi hii sio salama.

Kwani kazi ya usalama wa taifa kama hilo jina linavyotamkwa ni nini?

Kwa kusema hivyo maana yake rais au kiongozi anaweza fanya lolote bila wao kuzuia au kuwa na sauti??

Kwamba na wao ni kama sisi tu ambao tunasubiri wanasiasa watuongelee?

Kwa hiyo kesho rais akaiamka akitaka kubinafsisha idara yao kwa wengine wao hawana say yoyote? maana nchi inajiendea ambapo wao ndio jukumu namba moja kuirudisha kwenye mstari ila ndio kwanza wanampigia mbowe simu.
 
Unavoongea sasa, utadhani jukumu la kudai katiba mpya ni la wengine na wewe haumo!
 
Kwanini unasema hawa jamaa, wewe kama mtanzania wajibu wako ni nini au umefanya kipi au wewe haya hayakugusi kwa namna yoyote?
 
Hoja mufilisi. Kwani wakiamini hivyo wewe kinakuuma nini. Ni kweli katiba ikiwa sawa na uchaguzi ukiwa fair watarudi tena wengi tu. Naona umejaa hofu sana juu ya hilo. Bila shaka wewe ni mbunge uliyeingia kwa kubebwa.
Unadhani kila mtu ni mwanasiasa anaetegeme siasa kuwa ajira kama hao wajinga wa cdm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…