Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

Yani chadema ipoteze fursa muhimu kuhusu kstiba mpya kisa makuwadi ya warabu yamesema, broad day light dream.
Mbona sikuelewi unasema nini mkuu 'Dawa'?

Una maana wewe unadhani akili yangu inawategemea hao unaowaita "makuwadi ya waarabu"?

Unachosema hapa ni kwamba sina uwezo wa kutambua ninachokiona mwenyewe kwa akili zangu?

Ngoja nikuache, nipo kwenye 'mood' nzuri, lakini siku nyingine usirudie upumbavu huo.
 
Chadema au Tanzania ukiwamo wewe??huelewi katiba ni yanani?
Sasa unataka nikufundishe hata katika jambo dogo hivi?

Unabwatuka tu, kwa kutapika unayokariri, ukidhani unao uelewa wa unachokizungumzia?

Kama huelewi nafasi ya CHADEMA katika jamii, hata hiyo katiba kweli unajua inahusu kitu gani?

Sijawahi kukuona wewe, ngoja nikutazame vizuri kama unazo akili za kutosha kupotezea muda wangu kukujibu wewe.

Basi sawa. Kumbe ni kijana uliyebarehe hivi karibuni, hata ndevu hujapata., bado una maruweruwe na hali yako mpya. Nitakuvumilia.
 
Ninakubaliana na wewe.
CHADEMA wamepoteza fursa muhimu kuhusu Katiba Mpya.
We kiboko aiseh, kwa akili yako umeaminishwa na ukaamin kuwa katiba mpya ni muhimu zaidi kwa chadema kuliko wewe??, we ni tutusa, bumunda etc
 
Nadhani umeshindwa kujuwa silaha kuu za CCM ni kina nani? CCM ina wasomi na wasiokuwa wasomi lakini haina maana kuwa msomi ndio labda mtu ana akili kuliko labda mtu mwenye elimu ya kawaida hakuna formula katika maisha, na muheshimu sana mtu aliyefanikiwa kwa elimu ndogo aliyopata lakini tukija kwenye swali lako kama hao uliowataja CCM mtaji wao mkubwa ni watu wachini ndio mtaji wao nchi hii imefikishwa hapa tulipo na wasomi wetu wala sio kina Mwijaku( najuwa kasoma yuko vizuri) hawa kina Msukuma au Babu Tale ni makada wa chama na wamepita njia zao. Nchi hii shida kubwa ni wasomi wetu na Tanzania siku hizi ukitaka kufanikiwa jifanye mjinga tu si unaona kina Mandonga sijui Baba levo jitoe ufahamu tu utapata deals kibao na vijana wanaona na wengi wanatamani kuwa kina Baba Levo sababu kuu wa Tanzania tunafurahia mambo ya kijinga sasa unatizama soko liko wapi umbea basi wanaenda kwenye umbea ndio hali halisi na CCM wanajuwa watu wanapenda nini ndio wanachukuwa haohao.
 
Huo ndio ukweli hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono mkataba wa kijinga wa namna ile
 
We kiboko aiseh, kwa akili yako umeaminishwa na ukaamin kuwa katiba mpya ni muhimu zaidi kwa chadema kuliko wewe??, we ni tutusa, bumunda etc
Sasa angalia kiazi kama hiki?

Ni wapi uliposoma nikisema hivyo?

Hivi hizi shule zinazowawezesha kujua kusoma bila kuelewa mnachosoma zimetoka wapi siku hizi?

Lakini ninayo matumaini sana na huyu Prpfesa Mkenda, hali hii iataimaliza hivi karibuni, lakini kwa watu kama nyinyi mliopitia elimu mbovu sana, taifa litakuwa limepata hasara kubwa sana.
 
Mbowe ni mfanya biashara usikute ana kampuni pale bandarini. Kwahiyo ujio wa waarabu unatishia ulaji
 
Ningekujibu ila ushajitukana mwenyewe wenyeakili tushakuelewa wewe niwaaje!!... Tubuuokolewe
 
Mbowe na kachanganyikiwa Slaa. Kwa mtu wa kwanza kujadili hili jambo kwa mrengo wa utanganyika na uzanzibar si no yeye mwenyewe. Huyu jamaa kachoka chokile.
 
TLS yaulipua mkataba wa DP world, yasema katiba ya nchi imevunjwa vibaya sana, wamlilia Rais Samia ausimamishe
 
Watumishi wa umma kibao hawakubaliani na huo upuuzi

Pili wanasemaga Saa 100 ameshashindwa uongozi
Hao watumishi wa umma ndio mafisadi wakuu wa nchi hii na wengine wananufaika na madudu ya kule bandarini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…