Mbowe hatukutaki tena hilo elewa. Ni ajabu unafanya mahojiano masaa manne hukosoi kabisa utawala wa Samia badala yake unausifia! Madhara ya asali hayo

😂 😂 Wachaga hawawezi kukubali kuachia saccos yao
 
LIONDONE CHADEMA TUMELICHOKA,limeshapewa Hela Hilo masikio yamekufa ganzi halielewi
 
Sisi tunajua humo ndani kinachoendelea. Huyu Mbowe anagawa rushwa ananunua watu anatoa vitisho kupitia machawa wake. Watabaki na hicho chama na tutawapinga hadharani. Utulivu hautokuwepo kabisa.
Chadema ya Mbowe masimango na Dalali wenje inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya Lipumba
 
Weka hapa namba yako ya Chadema na imelipiwa mpaka 2025, kisha weka uhalali wa kikao kilichoamua kumuondoa kwenye uchaguzi.
 
We ni mwehu kama lisu.

Mbowe aliombwa ahojiwe.
Alikuwa anajibu maswali aliyoulizwa atatokaje nje ya mada iliyompeleka pale, na hyo nafasi angeipataje maana alibanwa na maswali.

Wehu bana pfyuuuuuu
 
Kichwa kubwa, akili kiduchu.
 
...Mbowe kaamua kusambaratisha taasisi yake kwa mkono wake mwenyewe...
 
We ni mwehu kama lisu.

Mbowe aliombwa ahojiwe.
Alikuwa anajibu maswali aliyoulizwa atatokaje nje ya mada iliyompeleka pale, na hyo nafasi angeipataje maana alibanwa na maswali.

Wehu bana pfyuuuuuu
Haahaa we ni mwehu kama nani? Kwa nn hamuwezi Jenga hoja bila kudhalilisha na kutukana wengine?
 
Ila Mwamba kazingua,katoka jela kafakamia bakuli la asali.
Hakuna watu wanafanya maisha ya ccm kuwa marahisi kama nyie makamanda wa chakademus

Huwa hamna hoja zaidi ya ushabiki tu
 
Mimi ni mpiga kura na nitamchinja. Ikitokea ameshinda kwa bahati mbaya tunapishana mlangoni namuachia Chadema yake akae na machawa wake awahadithie historia yake vizuri. Kuongozwa na mlamba asali ni kitu nilikataa kwa dhati kabisa ya moyo wangu.
Safi sana huo ndio msimamo wa watu wanaojitambua.
 
Muondoeni kidemokrasia hizi kelele zingine hazina msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…