Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

Bwana Jumbe Brown tusiwekeane maneno mdomoni au kuchukua nukuu nje ya mada kutengeneza mlima kutokea kusipokuwapo. Ni kwa sababu hiyo huwa tunakuwa na ujasiri wa kawafunda wenzetu wengine.

Nimepitia comments zote sipaoni popote nilipoandika "vita" wala kumaanisha "vita" wala demonstrations achilia mbali unazoita wewe endless demonstrations.

Ustaarabu wetu unajulikana kuwa ukiombwa ushahidi unaleta ushahidi. Ukiukosa unatengua kauli.

Ninakazia, yako haya hapa chini in blue si kweli na haijulikani unayaokota wapi:

Huko juu kuna comment umeandika "Vita imeanza"....

Nimekujibu kwa kukuuliza ,je hiyo Vita ndio "endless demostrations to topple the regime"?!!!

Tukubaliane hapa kuwa Chadema inafanya shughuli zake kwenye mipangilio yake. Chadema inauelewa uwanja huo vilivyo. Haijastushwa na lolote hadi sasa.

Kimsingi Chadema iko vizuri.
 
Ndio wanawake tulivo huwa tuko fair Sana lakini fairness yetu jamii na wanaume huchukulia kuwa ni weakness matokeo tuna ku stahi siku tukifanya maamuzi na reaction huwezi amini kabisa hasa ka tuli ku treat fair.
Upinzani ulipewa fairness na kusikilizwa wakamuona mama ni dhaifu wakumchezea mbowe mwenyewe akawa na mihemko too much matamko kuwa hawataki kusikiliza wala kusubiri mdude ndo akasema atamnyoa kwa wembe uliomnyoa mwendazake sasa hayo matusi na reactions za watu mama akawa emotional akawanyoosha, mimi mwenyewe binafsi kukosa subira kwa mbowe na upinzani mara wa Force katiba na kutaka kuanzisha maandamano niliona ni kumjaribu Samia na kuleta fujo za nchi kukosa utulivu ikabidi amkamate mbowe Sasa wote kimya.
Hata kina gwajima wajiangalie waache kumchokoa Rais na kujiropokea kisa mwanamke watanyooshwe tu hamna namna, kwanini watu wakupande kichwani uwachekee?
 
Usisahau kuwa Chadema walifahamu haikuwapo nia ya kuwakutanisha na SSH. Msingi nzima ukiwa:

Fitna dada za hao wanyoa viduku. Yaani mahafidhina.

Hata kama Chadema ingekubali kusubiria bila kujali ni muda gani, lengo lilikuwa ku prolong endlessly uwezekano huo ikihakikishwa Chadema uvumilivu unawashinda:

Nisiache kukuambia struggle kama hizi zina mengi ambayo hautayaona humu JF. Chadema ni taasisi yenye ofisi zake.
 
AMEN
 
Pana wTu wanaumia mno kwa kufahamu jahazi la Chadema liko Imara:

Cc: My Next Thirty Years The Boss

Chadema haijawahi kutetereka na haitakaa itetereke.
 
Naona tumezoea maisha ya kibabe babe hivyo tunamlazimisha Samia awe mbabe. So sad! Yule aliyepita amesema hakuahidi, hana agenda hiyo na asipangiwe juu ya hilo huyu amesema apewe muda yet tunaona tabu kumpa huo muda? Chadema mnaturudisha wapi jamani?
At last amekipata alichokuwa akitaka
 
Naona tumezoea maisha ya kibabe babe hivyo tunamlazimisha Samia awe mbabe. So sad! Yule aliyepita amesema hakuahidi, hana agenda hiyo na asipangiwe juu ya hilo huyu amesema apewe muda yet tunaona tabu kumpa huo muda? Chadema mnaturudisha wapi jamani?

Unadhani kulikuwa na nia ya dhati mkuu? Hakukosea aliyetambua kuwa siasa ni mchezo mchafu:

"amesema apewe muda yet tunaona tabu kumpa huo muda? Chadema mnaturudisha wapi jamani?"

Tambua kuwa haikuwapo na mkutano hapa. Maana kamili ya glasi tofauti bali mvinyo ule ule.
 
Chadema lazima iangaliwe kwa jicho la tatu, kama mwenyekiti wa chama alikuwa Katili wa kupanga mauaji ya watu wengine, je hao walio chini yake na wafuasi aliwafundisha kitu gani kama sio uhalifu na ujambazi?! inawezekana sio wote lkn baadhi yao lazima wafuatiliwe ili kubaini matendo yao na wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Tunamshauri Msajili wa Vyama vya siasa afute huu mkusanyiko wa wahalifu walio jificha kwenye mwamvuli wa chama cha kisiasa.
Amani ya nchi yetu lazima italindwa kwa gharama yoyote ile, hatuko kuona kikundi cha watu wachache kinajaribu kuchezea amani ya nchi yetu.
kamwe hato chekewa mtu yeyote.
 
Tunawasubiri barabarani
 
Ulitaka huo muda uwe ndani ya miezi minne hii? Si angalua wangeanza ku doubt huo muda baada hata mwaka mmoja. Haya wamefika wapi sasa hivi. Kila mmoja anawaona chadema wamefanya wrong calculations

Who's kila mmoja. Siyo kuwa wangesubiri mwaka mmoja mngesema wangesubiri miaka 2.

wangesubiri 2 mngesema wangesubiri 3. Wangesubiri 3 mngesema wangesubiri 4.

Yaani Kwamba wangesubiri "n" mngesema wangesubiri "n+1" acheni hizo. Hayo kawaambieni ndege.
 
Chadema lazima iangaliwe kwa jicho la tatu, kama mwenyekiti wa chama alikuwa Katili wa kupanga mauaji ya watu wengine, je hao walio chini yake na wafuasi aliwafundisha kitu gani kama sio uhalifu na ujambazi?! inawezekana sio wote lkn baadhi yao lazima wafuatiliwe ili kubaini matendo yao na wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Tunamshauri Msajili wa Vyama vya siasa afute huu mkusanyiko wa wahalifu walio jificha kwenye mwamvuli wa chama cha kisiasa.
Amani ya nchi yetu lazima italindwa kwa gharama yoyote ile, hatuko kuona kikundi cha watu wachache kinajaribu kuchezea amani ya nchi yetu.
kamwe hato chekewa mtu yeyote.
 
Kwaufupi anapigana na Rais kwa maneno mengine YUPO zaidi ya Rais.

Ameomba apewe muda wakati mtangulizi wake hata huo muda hakuomba lakini walikubali yaishe! Naona kama wamekosa ajenda hiyo pekee ndiyo iliyobakia si vibaya kuitafutia mkakati wenye busara issue ya katiba ni tatizo Katika nchi nyingi Duniani ingawa hata zilizofanikiwa kubadili katiba bado Kuna haja ya kuzibadili tena na tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…