Mbowe: Hayati Rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu, hakuwa mvivu hata kidogo

Hadi Mungu mwenyewe karidhika kwamba amemaliza kazi aliyomtuma akamchukua halafu wewe unasema hakuwahi kuwa chaguo la Mungu!!?

Wewe ni nani?? Au unataka kutuambia Mungu ame deligate kazi ya kuumba na kuua kwako🤔🤔
JPM aliwahi kuja pale BCIC na mimi nilisali siku hiyo alikuja na mabinti zake wawili akasema kwamba hapendi kwenda kanisani ila leo mke wake "kamlazimisha" akasema "ngoja leo niende nione anaposali huko". Ilikua back in 2012 cha kushangaza eti 2015 mnadai ni mcha Mungu!!

Hvi hyu si alikua na mahusiano na Yule waziri and DC fulani? Hvi kuna mcha mungu malaya?
 
Kila mtu atakuja mkumbukabhuyu mwamba, mie namkumbuka the first day tu alipofariki
 
JPM aliwahi kuja pale BCIC na mimi nilisali siku hiyo alikuja na mabinti zake wawili akasema kwamba hapendi kwenda kanisani ila leo mke wake "kamlazimisha" akasema "ngoja leo niende nione anaposali huko". Ilikua back in 2012 cha kushangaza eti 2015 mnadai ni mcha Mungu!!

Hvi hyu si alikua na mahusiano na Yule waziri and DC fulani? Hvi kuna mcha mungu malaya?
Unapata faida gani kushuhudia uongo?
 
Unapata faida gani kushuhudia uongo?
Uongo upi....? Kamuulize yeyote anayesali BCIC ya Interchick alivyokuja JPM enzi za uwaziri alitoa comment zipi.

Hakuwa mtu wa dini ndio maana hta alikunywa kikombe cha babu.... Ghafla kawa Rais eti mcha Mungu?

Embu jiulize kma Mungu alimtuma kupinga chanjo na corona je angeruhusu afe katikati ya janga la Corona?? Ina maana Mungu huwa anashindwa?
 
JPM aliwahi kuja pale BCIC na mimi nilisali siku hiyo alikuja na mabinti zake wawili akasema kwamba hapendi kwenda kanisani ila leo mke wake "kamlazimisha" akasema "ngoja leo niende nione anaposali huko". Ilikua back in 2012 cha kushangaza eti 2015 mnadai ni mcha Mungu!!

Hvi hyu si alikua na mahusiano na Yule waziri and DC fulani? Hvi kuna mcha mungu malaya?
Bwana mdogo kama ni fununu za mahusiano hata hao unao waona wamaana sana wanazo pia, ni swala la upendeleo tuu kuongelea. Kama haujui uende viwanja vya bungeni dodoma uulizie kuhus hao watu wako.

Swala la Magufuli kuenda kanisani na kutamka hayo uliosema, Sikiliza haitengui na haitatengua ukweli kuwa JPM alikua kiongozi bora miongoni mwa watanzania tulio weng na Dunia kwa ujumla.

Nilimjibu mtu hapo juu na narudia kwako.
" Ku'retrieve mambo ya kimaandishi au school books pekee kujudge uhalisia wa mambo haitakuja kukufikisha mahalala sahihi kimaono KAMWE "

Kwa sababu kubwa ni kwamba uhalisia wa mambo una nguvu kuliko maoni ya watu walio kwisha weka kwenye Maandishi wakat fur
lani fulani.

Uongozi kama wa kikwete haukua na tija katika maendeleo ya Taifa letu kwa vizazi na vizazi bali Nasema ulikua uongozi wa kufurahishana maisha kwa wakat ule uliopo tena kwa big sharks

Kupitia JPM ndio tukapata UHALISIA mpya wa mustakabari wa TAIFA LETU. Yaani mambo ya msingi na muhimu kwa kiongozi katika kujenga Taifa lenye manufaa Kwa wananchi wake wa hali zote.

Sasa inawawia vigumu mno mlio weng hapa jamii forum kutoka ndani ya box na kujaribu ni kwa namna gani hasa, sisi kama TAIFA kutoka hapa na kutengeneza taifa bora zaidi kwa manufaa ya vjzazi na vizazi.

Mnachojaribu kufanya ni kuukwepa UHALISIA (kwa mkumbo, makusudi or by being naive ) na kuangalia tuu mambo mnayo yaon yanafaa sana kujenga taifa hili. eti kitu kama preserving Democracy under high rate of illeteracy kweli ?

Lakini ukweli hayajengi Taifa hili na hayatajenga sio kirahisi kama mnavyofikiri LABDA muwe mnalenga kutojenga taifa hili sawa

●JPM was the only guy he could do much better to his country. You may continue drowning in your zone thinking that will turn to a life jacket saving to the shore.
 
Kuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza.

Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na alichapa kazi kwelikweli usiku na mchana na kuwataka Chadema kama wanataka kufanikiwa lazima waige tabia hiyo.

Kuanzia 11: 07

My take:
Mbowe ameamua kuwavua nguo makamanda? Ama kweli unafiki haulipi hata mwaka haujaisha nafsi zimeanza kuwasuta na kuanza kusema ukweli kuwa upingaji wao kwa Magufuli kumbe ulikuwa unafiki tu.
Kumuelewa mbowe lazima uwe na akili za kijasusi kamazako za ualimu hutamwelewa
 
Bwana mdogo kama ni fununu za mahusiano hata hao unao waona wamaana sana wanazo pia, ni swala la upendeleo tuu kuongelea. Kama haujui uende viwanja vya bungeni dodoma uulizie kuhus hao watu wako.

Swala la Magufuli kuenda kanisani na kutamka hayo uliosema, Sikiliza haitengui na haitatengua ukweli kuwa JPM alikua kiongozi bora miongoni mwa watanzania tulio weng na Dunia kwa ujumla.

Nilimjibu mtu hapo juu na narudia kwako.
" Ku'retrieve mambo ya kimaandishi au school books pekee kujudge uhalisia wa mambo haitakuja kukufikisha mahalala sahihi kimaono KAMWE "

Kwa sababu kubwa ni kwamba uhalisia wa mambo una nguvu kuliko maoni ya watu walio kwisha weka kwenye Maandishi wakat furani furani.

Uongozi kama wa kikwete haukua na tija katika maendeleo ya Taifa letu kwa vizazi na vizazi bali Nasema ulikua uongozi wa kufurahishana maisha kwa wakat ule uliopo tena kwa big sharks

Kupitia JPM ndio tukapata UHALISIA mpya wa mustakabari wa TAIFA LETU. Yaani mambo ya msingi na muhimu kwa kiongozi katika kujenga Taifa lenye manufaa Kwa wananchi wake wa hali zote.

Sasa inawawia vigumu mno mlio weng hapa jamii forum kutoka ndani ya box na kujaribu ni kwa namna gani hasa, sisi kama TAIFA kutoka hapa na kutengeneza taifa bora zaidi kwa manufaa ya vjzazi na vizazi.

Mnachojaribu kufanya ni kuukwepa uhalisia na kuangalia tuu mambo mnayo yaon yanafaa sana kujenga taifa hili.

Lakini ukweli hayajengi Taifa hili na hayatajenga sio kirahisi kama mnavyofikiri LABDA muwe mnalenga kutojenga taifa hili sawa

●JPM was the only guy he could do much better to his country. You may continue drowning in your zone thinking that will turn to a life jacket saving to the shore.
Akili zako zinaakisi hiyo Avatar yako!!

Mie nimepinga kumuita ni chaguo la Mungu/ mcha Mungu. Wewe msifie unavyotaka ila usilazimishe eti alikua chaguo la Mungu!!

Hyu si ndio alisema maombi yatatulinda na Corona na kwamba ni kiongozi pekee ''aliyesimama'' na Mungu wakati dunia nzima "ikitegemea" chanjo.

Sasa Mungu angekubali kweli mtu wake aondoke katikati ya vita?? Kwamba shetani ana nguvu kuliko Mungu?? Embu acheni kukufuru wakuu.... Mtajiongezea laana tu
 
Bwana mdogo kama ni fununu za mahusiano hata hao unao waona wamaana sana wanazo pia, ni swala la upendeleo tuu kuongelea. Kama haujui uende viwanja vya bungeni dodoma uulizie kuhus hao watu wako.

Swala la Magufuli kuenda kanisani na kutamka hayo uliosema, Sikiliza haitengui na haitatengua ukweli kuwa JPM alikua kiongozi bora miongoni mwa watanzania tulio weng na Dunia kwa ujumla.

Nilimjibu mtu hapo juu na narudia kwako.
" Ku'retrieve mambo ya kimaandishi au school books pekee kujudge uhalisia wa mambo haitakuja kukufikisha mahalala sahihi kimaono KAMWE "

Kwa sababu kubwa ni kwamba uhalisia wa mambo una nguvu kuliko maoni ya watu walio kwisha weka kwenye Maandishi wakat fur
lani fulani.

Uongozi kama wa kikwete haukua na tija katika maendeleo ya Taifa letu kwa vizazi na vizazi bali Nasema ulikua uongozi wa kufurahishana maisha kwa wakat ule uliopo tena kwa big sharks

Kupitia JPM ndio tukapata UHALISIA mpya wa mustakabari wa TAIFA LETU. Yaani mambo ya msingi na muhimu kwa kiongozi katika kujenga Taifa lenye manufaa Kwa wananchi wake wa hali zote.

Sasa inawawia vigumu mno mlio weng hapa jamii forum kutoka ndani ya box na kujaribu ni kwa namna gani hasa, sisi kama TAIFA kutoka hapa na kutengeneza taifa bora zaidi kwa manufaa ya vjzazi na vizazi.

Mnachojaribu kufanya ni kuukwepa uhalisia(kwa mkumbo, makusudi au or by being naive ) na kuangalia tuu mambo mnayo yaon yanafaa sana kujenga taifa hili.

Lakini ukweli hayajengi Taifa hili na hayatajenga sio kirahisi kama mnavyofikiri LABDA muwe mnalenga kutojenga taifa hili sawa

●JPM was the only guy he could do much better to his country. You may continue drowning in your zone thinking that will turn to a life jacket saving to the shore.
Uko vizuri sana mkuu
 
JPM aliwahi kuja pale BCIC na mimi nilisali siku hiyo alikuja na mabinti zake wawili akasema kwamba hapendi kwenda kanisani ila leo mke wake "kamlazimisha" akasema "ngoja leo niende nione anaposali huko". Ilikua back in 2012 cha kushangaza eti 2015 mnadai ni mcha Mungu!!

Hvi hyu si alikua na mahusiano na Yule waziri and DC fulani? Hvi kuna mcha mungu malaya?
Hakuna mkamilifu hapa duniani, binadamu wote ni watenda dhambi lakini tunayo nafasi ya kutubu na kumrejea mwenyezi Mungu. Kwa hiyo we umesema mwaka 2012 JPM alikuwa hapendi kusali then kufikia 2015 inawezekana alikuwa amebadiika.

Usikariri mtu uliyemfahamu miaka 4 iliyopita Kama mzinzi basi ukikutana nae leo bado atakuwa na tabia zilezile. Kila mtu ana mapito yake hata wewe unayo mapito. Hata hivyo usihukumu usije ukahukumiwa.
 
Hakuwa na mahusiano na Angellah? Mbona ipo wazi kwamba alikua anapenda wanawake hta yye alikua anakiri kwa utani thou alimaanisha.

JPM kitendo cha kulala na mke wa mtu nje ya ndoa tayari inamdisqualify kuwa mcha Mungu. Mpeni sifa zote ila mnakosea mnapompa Utakatifu.

JPM nina uhakika yupo kuzimu 100% unless kama wanachodai- kuwa walimuongoza sala ya toba - ni kweli.
 
Zilizotoa chama kutoka kuwa na wabunge 100 hadi kubaki mmoja?
JPM mwenyewe alishakiri kule morogoro kwamba wana CCM walishinda kwa rushwa na hawakuchaguliwa na wananchi. Ghafla aliyeongoza wizi huo bwana Shaka ndio katibu wenu wa uenezi.

Subiri 2025 mtapata majibu yote
 
JPM hakuwahi kuwa chaguo la Mungu...... Haiwezekani mtu wa Mungu atumie ushirikina. Ambacho nakubali kwa JPM alikua na uthubutu and NIA njema lwa taifa tatizo lilikuja kwenye utekelezaji na ukatili wake basi.

Angefaa uwaziri wa ujenzi tu angeacha legacy kubwa zaidi.
magufuli hajawahi kua katili kamwe, wanaomwita magufuli katili ni wale alowagusa katika ufisadi, mikataba mibovu, madawa ya kulevya, wakwepa kodi, vyeti feki, wafanya kazi hewa na nk... ambao kimantiki alikua sahihi kuwashughulikia.

kuna nyakati mnaleta vihoja eti alikua muuaji na mtekaji bt hata tukiikubali hoja hii then tukalinganisha na watangulizi wake(kikwete &mkapa) bado magufuli hajawafikia labda kama umeanza fuatilia siasa majuzi ndo utakua huyajui haya.
 
Hakuwa na mahusiano na Angellah? Mbona ipo wazi kwamba alikua anapenda wanawake hta yye alikua anakiri kwa utani thou alimaanisha.

JPM kitendo cha kulala na mke wa mtu nje ya ndoa tayari inamdisqualify kuwa mcha Mungu. Mpeni sifa zote ila mnakosea mnapompa Utakatifu.

JPM nina uhakika yupo kuzimu 100% unless kama wanachodai- kuwa walimuongoza sala ya toba - ni kweli.
Huwezi sema una uhakika 100% kuwa yupo kuzimu, wewe siyo Mungu au Malaika. Hata Kama alikuwa ametenda dhambi lakini Kama aliweza kutubu kabla ya kifo basi tunaamini atakuwa sehemu salama anastarehe.
 
Back
Top Bottom