Mbowe: Hayati Rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu, hakuwa mvivu hata kidogo

Mbowe: Hayati Rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu, hakuwa mvivu hata kidogo

JPM mwenyewe alishakiri kule morogoro kwamba wana CCM walishinda kwa rushwa na hawakuchaguliwa na wananchi. Ghafla aliyeongoza wizi huo bwana Shaka ndio katibu wenu wa uenezi.

Subiri 2025 mtapata majibu yote
Utakuwa nyumbu mpaka lini?
 
Akili zako zinaakisi hiyo Avatar yako!!

Mie nimepinga kumuita ni chaguo la Mungu/ mcha Mungu. Wewe msifie unavyotaka ila usilazimishe eti alikua chaguo la Mungu!!

Hyu si ndio alisema maombi yatatulinda na Corona na kwamba ni kiongozi pekee ''aliyesimama'' na Mungu wakati dunia nzima "ikitegemea" chanjo.

Sasa Mungu angekubali kweli mtu wake aondoke katikati ya vita?? Kwamba shetani ana nguvu kuliko Mungu?? Embu acheni kukufuru wakuu.... Mtajiongezea laana tu
Magufuli kuzaliwa kwake, kuwa rais mpaka kufa ni matakwa ya Mungu. Ni chaguo lake yeye Mungu kuwa na ikawa,

Magufuri ni mtu wa maneno mengi kiasi ten mtu wa utani, kama kweli kabjsa magufuli hakua mchamungu asingekua anafungua mikutano na vikao kwa dua au kutoka kwa viongozi wa dini NA WALA asingekua ana asa wananchi wake kumtegemea MUNGU. Kitendo kimoja kwa vitendo mia bado unasema hakua mchamungu ?

Ndio hakutaka kumdhihaki Mungu kwenye Corona ndio maana hat kwenu hakuna aliekufa kwa corona, pia ujue kwamba wakat ule corona ilikua fursa kwa wachawi vile vile vifo vya gafla vilihisiwa ni corona kumbe sio.
 
Hakuwa na mahusiano na Angellah? Mbona ipo wazi kwamba alikua anapenda wanawake hta yye alikua anakiri kwa utani thou alimaanisha.

JPM kitendo cha kulala na mke wa mtu nje ya ndoa tayari inamdisqualify kuwa mcha Mungu. Mpeni sifa zote ila mnakosea mnapompa Utakatifu.

JPM nina uhakika yupo kuzimu 100% unless kama wanachodai- kuwa walimuongoza sala ya toba - ni kweli.
Wewe ni Joyce Mkuya nyumba ndogo ya mbowe?
 
Wasio na akili kwa kiwango chako huwa ni chadema
Mwendazake alinunua wabunge wa CHADEMA kama 5 na wanne kawapa u Naibu Waziri (Mollel, Gekul, Sikinde na Waitara).

Kama CHADEMA hawana akili ni vipi Magufuli althubu kuwanunua na kisha kuwapa u NW wakati wa CCM wapo?

Tikisa kichwa chini juu uangalie pengine huna ubongo
 
Watu wazima wenye akili timamu hawawezi kununuliwa Kama ng'ombe mnadani, hao waliamua wenyewe kwa hiari yao.

Tatizo lenu hamuamini katika demokrasia ya vyama vingi, kwamba mtu yupo huru kuchagua chama achoona kinafaa.

Mtu akitoka CCM kwenda Chadema mnamuita kamanda au shujaa, akitoka Chadema kwenda CCM eti amenunuliwa, ni upuuzi.
 
Hao ni nyumbu mkuu
 
Hapa ndipo ma uvisisiem mnapo jidharaulisha...

Hivi hayo maamuzi magumu aliyoongea Mbowe... Of which Im yet to believe that this video is true kayataja...

Hivi mnajua amuzi gumu kuliko yote alolifanya mwenda .. !?
Mataga bana
 
Hauiamini video ya mbowe?
 
Back
Top Bottom