Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Punguza utoto..... Lissu lini kawa mtetezi wa mashoga? Yeye alichokiongea ni kwamba privacy za watu ziheshimiwe na serikali inapeleka muswada bungeni ku seal hiyo sheria ya kulinda privacy ili kuepuka stalkers na surveillance kwa personal life ya mtu!! Je nao wana support ushoga?
Tafuteni mambo ya msingi.... Tatizo lenu hamuoni udhaifu wa kiutendaji wa Lissu hana ufisadi wala skendo so mnateseka pa kumkamatia mmekosa. Aliyetaka kumuua ndio ametangulia
Mungu ni mkubwa
kwani unaogopa watu nawewe!!!Mkuu.. I did not quote you!!
Which appointment has he been postenned into!?On a serious note: Unajua appointment ya huyo mwenzio kwa sasa!??? Hata kama huna smatifoni, basi waulize japo majirani zako, sawa!???
Which appointment has he been postenned into!?
Come clear..
MaCCM mmezoea taarabu.
Come clean.
Maswali yako yanaonyesha jinsi ulivyo mweupe kichwani!Walikuuwa na wewe?
Siku zote lazima kutumia lugha nyepesi ili ujumbe ufike,sio maneno magum ,kufoka Kama mwendazakeUnampinga mbowe?
Mengi Sana , mpaka Sasa , ndo maana hata nisipoendaga kanisani moyo wangu unakua na amani, maana niyafanyao yanamgusa mungu kupitia wanadam alio waaumbaWewe maamuzi yako yenye tija kwa taifa ni yapi?
Ni kweli alikuwa na uthubutu wa kuvunja hata katiba bila wogaKuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza.
Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na alichapa kazi kwelikweli usiku na mchana na kuwataka Chadema kama wanataka kufanikiwa lazima waige tabia hiyo.
Kuanzia 11: 07
My take:
Mbowe ameamua kuwavua nguo makamanda? Ama kweli unafiki haulipi hata mwaka haujaisha nafsi zimeanza kuwasuta na kuanza kusema ukweli kuwa upingaji wao kwa Magufuli kumbe ulikuwa unafiki tu.
Taja mawili tu
Najua Mimi na Mungu wanguTaja mawili tu
Kwa bahati mbaya sana, "uthubutu" wake haukuwa na Breki. Ikawa ni kero na maumivu kwa taifa badala ya faida.Kuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza.
Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na alichapa kazi kwelikweli usiku na mchana na kuwataka Chadema kama wanataka kufanikiwa lazima waige tabia hiyo.
Kuanzia 11: 07
My take:
Mbowe ameamua kuwavua nguo makamanda? Ama kweli unafiki haulipi hata mwaka haujaisha nafsi zimeanza kuwasuta na kuanza kusema ukweli kuwa upingaji wao kwa Magufuli kumbe ulikuwa unafiki tu.
Unajuwa maana ya hilo neno 'pragmatic', au unajiandikia tu mradi umelikumbuka?Sahihi. Magufuli was pragmatic...
Appointment nayoijua ya Mwisho ilikua Urais wa bar ya wanasheria. Kama wanasheria wanavyojiita wasomi waliona Lissu ndio kila kitu ww kapuku wa darasa la sababu kumchukia haiwezi mpunguzia lolote.On a serious note: Unajua appointment ya huyo mwenzio kwa sasa!??? Hata kama huna smatifoni, basi waulize japo majirani zako, sawa!???
Kilaza kama wewe unani'quote' mimi leo?Unamfundisha mbowe siasa?
Kuingia kwenye uchumi wa kati ndiyo kero kwako? Jinga kabisa
Wewe mchango wako ni upi ?Kilaza kama wewe unani'quote' mimi leo?
Mbona huwa sina muda wa kupoteza na watu kama wewe, au wenzako hawakukueleza hilo kama ulikuwa hujui?
Uchumi wa kati wameingia waTanzania, siyo mpuuzi wako huyo ambaye hakuwa na mchango wowote juu yake.
Kilaza kama wewe huwezi kujua mchango wangu kwenye taifa langu ni upi, huwezi.Wewe mchango wako ni upi ?
Jinga kabisa