Mbowe: Hayati Rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu, hakuwa mvivu hata kidogo

Mbowe: Hayati Rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu, hakuwa mvivu hata kidogo

1624106780631.png
 
Jpm alikuwa na mazuri yake pia kwenye suala la maamuzi alikuwa yuko fasta sana pia mfuatiliaji sana, ila pia yapo mabaya kama mwanadamu yoyote yule
 
magufuli hajawahi kua katili kamwe, wanaomwita magufuli katili ni wale alowagusa katika ufisadi, mikataba mibovu, madawa ya kulevya, wakwepa kodi, vyeti feki, wafanya kazi hewa na nk... ambao kimantiki alikua sahihi kuwashughulikia.

kuna nyakati mnaleta vihoja eti alikua muuaji na mtekaji bt hata tukiikubali hoja hii then tukalinganisha na watangulizi wake(kikwete &mkapa) bado magufuli hajawafikia labda kama umeanza fuatilia siasa majuzi ndo utakua huyajui haya.
Na ukilinganisha watu wanaokufa kwakukosa dawa, chakula, maisha bora, ombaomba mitaani na hao basi ambao hata hawana uhakika nao, JPM anakuwa malaika...Wengine wanaua mamilioni kwasababu tu yakutojali welfare za watu wao bali maslahi binafsi
 
Kwenye "lakini" umekata kuficha nini?

Au palikuwa na neno "ukatili" laja?
"Lakini" akujua kuwa mimi mbowe ni GAIDI tu ndiyo maana nilikuwa sisemi ukweli kuhusu uwezo wa magufuli
 
The president who really loved his people
"Nimeamua kusacrifice maisha yangu kwa ajili ya watanzania"
Alinena mwamba Jemedari JPM
Kifo chake ni hasara kubwa Tanzania na Afrika kwa ujumla
Nenda baba JPM, Tanzania hatutakusahau kamwe!!
 
Sasa taanza muelewa Mbowe kama atakuwa naongea ukweli penye kupasa kusema ukweli.

Niliwahi kusema humu atakayetembelea nyota ya JPM kwenye uchguzi atakuwa na nafasi kubwa ya kutoboa tusubiri muda utaongea.
Naamini chadema watamtaja na kumsiifu saana JPM kwenye kampeni zao zijazo
 
"Lakini" akujua kuwa mimi mbowe ni GAIDI tu ndiyo maana nilikuwa sisemi ukweli kuhusu uwezo wa magufuli

Kando ya udhulumati wa mali na maisha ya watu moja kwa moja, huku pia ana kesi ya kujibu:

IMG-20210725-WA0007.jpg

Kama tulivyo hangaika naye hapa tutahangaika naye huko alipo, tukiwa hapa na hata tukiwa huko huko.

Nani alimpa mamlaka ya kuwatoa kafara watu?!

Disgusting!
 
Naamini chadema watamtaja na kumsiifu saana JPM kwenye kampeni zao zijazo
Hata wakifanya hivyo nani atawakubali maana walishabikia kifo cha magufuli ,upinzani tz ulijiua wenyewe kwa kumpiga vita magufuli labda kianzishwe chama kipya cha legacy ya magufuli na nyerere ndiyo kinaweza kutembelea nyota ya magufuli ,kwasasa tutegemee vita kali ndani ya ccm yenyewe baina ya MAGUFULI LEGACY NA MAFISADI LEGACY aka wanafiki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hili Chama siku kikipewa ridhaa ya kuongoza nchi tumekwisha!
 
Back
Top Bottom