Mbowe huu ndio wakati kuachia ngazi CHADEMA, wewe mwenyewe unaona unavyopuuzwa kwa siasa za kuganga njaa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .

Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.

Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.

Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
 
Mbowe ni Mfanya biashara.
Hakuna biashara yenye faida kubwa kama Ruzuku.
Juzi kapiga ruzuku ya Tsh Bilioni Tatu.

Kamwita Lema aliyekuja na kuwatukana Bodaboda kuwa ni kazi ya laana.
Kamwita Lissu anaye wafagilia Mashoga.

Wanaponda Ruzuku, kwanye Elikopta waliyo ifufua.

Ruzuku ikiisha utaona Lissu anaenda Ubergiji.
Lema anaenda Canada.

Mbowe ni Mfanya Biashara.
Sisi wahenga tunajua.
 
Chadema sio mali ya umma ni mali ya familia!
 
Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .

Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.

Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.

Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Mtakapokuja kushituka mshatajirisha watu na nyie mshafilisika

Ivi kweli kabisaaa ww una imani na chadomo kua kitachukua dola?

Ndoto za Ali nacha hizi

Ali nacha alikua anauza vikombe akafika sehemu akapumzika akawaza mengi ya utajiri kwa kupitia kuuza vikombe vyake hatimae yupo usingizini anakuja kushtuka akavipiga vikombe teke vikavunjika vyote na mawazo ya utajiri wake yakaishia hapo
 
Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .

Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.

Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.

Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
MBOWE akiachia ngazi UTAGIMBEA wewe? Kati ya wewe na MBOWE nani ANAGANGA NJAA?
 
Mbowe ni Mfanya biashara.
Hakuna biashara yenye faida kubwa kama Ruzuku.
Juzi kapiga ruzuku ya Tsh Bilioni Tatu.

Kamwita Lema aliyekuja na kuwatukana Bodaboda kuwa ni kazi ya laana.
Kamwita Lussu anaye wafagilia Mashoga.

Wanaponda Ruzuku, kwanye Elikopta waliyo ifufua.

Ruzuku ikiisha utaona Lissu anaenda Ubergiji.
Lema anaenda Canada.

Mbowe ni Mfanya Biashara.
Sisi wahenga tunajua.
Mnateseka sana na Chadema kama unaona Wanaponda Ruzuku vipi na wanaoponda Mabilioni yaliuotajwa na CAG? VICHAA MNAHANGAIKA NA CHADEMA
 
Ulimsikiliza Heche juz wasafi? Kama hukumsikiliza nenda kasikilize ile inteview then uje ufute huu uzi
 
Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .

Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.

Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.

Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Sasa mbona anayependa kulamba shubiri analilia asali sasa,ipi itakuwa tofauti kati yao🤔
 
Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .

Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.

Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.

Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Mpe unyumba mumeo achana na Mbowe ana mke
 
Tangu lini ushauri wa mjinga mnafiki ukapata thamani?
 
Mnateseka sana na Chadema kama unaona Wanaponda Ruzuku vipi na wanaoponda Mabilioni yaliuotajwa na CAG? VICHAA MNAHANGAIKA NA CHADEMA
Hivi cheo cha Uwenyekiti Chadema hakina Ukomo ?
Kutokana na Katiba ya CHADEMA
Tufanye Basi CCM Wanapiga pesa na Chedema hivyo hivyo.
Nyie endeleeni kushangilia.
 
Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .

Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.

Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.

Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Sawa Halima Mdee tumekusikia
 
Mitano tena kwa Mbowe ,haiwezekani Chadema iweke mwenyekiti mwingine mamluki ,Mbowe atosha kuivusha Chadema ,Subiri kwanza amalize mapambano ndiyo akabidhi kwa mtu mwingine ,kwa siasa hizi za sasa za kuunga juhudi Mbowe anafaa kuendelea kuwa mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom