MwendawazimuWatu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.