Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Acha ujinga. Nina uchungu na taifa languKweli umempania.
Usiku wote huu unamuanzishia uzi.
Chadema sio mali ya umma ni mali ya familia!Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Mtakapokuja kushituka mshatajirisha watu na nyie mshafilisikaWatu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
MBOWE akiachia ngazi UTAGIMBEA wewe? Kati ya wewe na MBOWE nani ANAGANGA NJAA?Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Mnateseka sana na Chadema kama unaona Wanaponda Ruzuku vipi na wanaoponda Mabilioni yaliuotajwa na CAG? VICHAA MNAHANGAIKA NA CHADEMAMbowe ni Mfanya biashara.
Hakuna biashara yenye faida kubwa kama Ruzuku.
Juzi kapiga ruzuku ya Tsh Bilioni Tatu.
Kamwita Lema aliyekuja na kuwatukana Bodaboda kuwa ni kazi ya laana.
Kamwita Lussu anaye wafagilia Mashoga.
Wanaponda Ruzuku, kwanye Elikopta waliyo ifufua.
Ruzuku ikiisha utaona Lissu anaenda Ubergiji.
Lema anaenda Canada.
Mbowe ni Mfanya Biashara.
Sisi wahenga tunajua.
Sasa mbona anayependa kulamba shubiri analilia asali sasa,ipi itakuwa tofauti kati yao🤔Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Mpe unyumba mumeo achana na Mbowe ana mkeWatu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Hivi cheo cha Uwenyekiti Chadema hakina Ukomo ?Mnateseka sana na Chadema kama unaona Wanaponda Ruzuku vipi na wanaoponda Mabilioni yaliuotajwa na CAG? VICHAA MNAHANGAIKA NA CHADEMA
Sawa Halima Mdee tumekusikiaWatu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya umma . Hata kama ulipambana kuipaisha. Huko ni kujitolea. Kwa sasa hufai maana unapenda sana kulamba asali.
Humjui huyu ni nani?Kweli umempania.
Usiku wote huu unamuanzishia uzi.