Pre GE2025 Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa mbona Mbowe mbona kama amechanganyikiwa, anajipiga mwenyewe madongo halafu anadhani anamrusia mwingine🤣🤣🤣.
 
Mbona yeye alibadili gia angani 2015 kwa Lowassa? Yeye Lissu akibadili gia angani kugombea uwenyekiti kuna shida gani?

Ameingia mtego kumuongelea vibaya Lissu wakati Lissu anajenga hoja kuhusiana na chama na sio Mbowe binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…