Pre GE2025 Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
LISu sio bwege, kambi ya jeshi itende anaalama yake pale

Kama walikubaliana kwann alimpelekea wenje,mzee huyu analeta uhuni wakizamani ...eti
Itende pale karibu na kalobe, Lissu alifanyaje mkuu?
 
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza Tundu Lissu.
View attachment 3191687

Soma, Pia;

- Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

- Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

- Tundu Lissu ataka viongozi wa dini waingizwe kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA
Sasa Mbowe habari ya super hero si kajisema yeye miaka 21 anaamini bila yeye hakuna CHADEMA, anataka awe Mfalme, humility/unyenyekevu anamaanisha kuwa mnafiki, chawa na zuzu, watu wakose uthubutu wa kuomba kupambania Chama na kuomba ridhaa
 
Busara ameambulia 0.6% serikali za mitaa
Jamaa yenu alitoka ka kuta 6 yeye kidume, anakwenda kuaibika mbele ya macho ya watanzania..
Kaanza kulia lia kuhusu mawakala, tunamshauri amlete ze wife wake azihesabu ili kusiwe na visingizio.
 
Njia ya muongo huwa ni fupi na pia ukiwa muongo uwe na kumbukumbu!
Mbowe gafla amesahau aliandaa igizo lowasa style eti wanachama wameenda nyumbani kwake KUMLAZIMISHA agombee uenyekiti!
Haahaa jamaa aliwapanga, mpiga kampeni wake yule wa rukwa
 
Jamaa yenu alitoka ka kuta 6 yeye kidume, anakwenda kuaibika mbele ya macho ya watanzania..
Kaanza kulia lia kuhusu mawakala, tunamshauri amlete my wife wake azihesabu ili kusiwe na visingizio.
Haahaa mbowe hata akishinda ndani ya chadema uwenyekiti, asubiri October.
 
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza Tundu Lissu.
View attachment 3191687

Soma, Pia;

- Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

- Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

- Tundu Lissu ataka viongozi wa dini waingizwe kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA
Ilikuwa ghafla kwasababu aligundua kuwa unatumia rafu kumuondoa kupitia Wenje.

Na kwanini unaongea kwa uchungu?
Lakini kwanini unaona Lissu kakosea kugombea?
Ikiwa haukuwa na mpango wa kugombea hadi ulipoombwa mbona unashutumu au ulitaka nani agombee?

Mbowe amejaa hila sana
 
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza Tundu Lissu.
View attachment 3191687

Soma, Pia;

- Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

- Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

- Tundu Lissu ataka viongozi wa dini waingizwe kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA
Hapo ccm watajaribu ku
Poteza Lisu then lawama kwa mbowe
 
Itende pale karibu na kalobe, Lissu alifanyaje mkuu?
enzi ya ukusanywaji

Akiwa kuruta ,aliwaita brigedias general wajinga sana(vilaza),wakati mahita akitoa amri MPs wamkamate apelekwe katakana wale brigedias wakasimama wakasema ....mwacheni ni kweli sisi mabwege......hiki nikipindi Cha ukusanywaji maoni juu ya uazishwaji mfumo vyama vingi
 
Unamtangazia nani?na ili iweje?
mtu mmoja hauna athari yeyote

kazi kuandika andika tu humu jf
Acheni kulia lia kama wanawake,umeamua kuondoka ondoka,unamtangazia nani,unataka ubembelezwe,kwani mapenzi haya
Sio mtu mmoja tupo wengi we utachukia hadi mimba ikutoke mwaka huu
 
enzi ya ukusanywaji

Akiwa kuruta ,aliwaita brigedias general wajinga sana(vilaza),wakati mahita akitoa amri MPs wamkamate apelekwe katakana wale brigedias wakasimama wakasema ....mwacheni ni kweli sisi mabwege......hiki nikipindi Cha ukusanywaji maoni juu ya uazishwaji mfumo vyama vingi
Okay,kumbe kapita pale...mitaa ya home kule.
 
Hao wengi ndio muondoke sasa,mnasubiri nini?

Kwani mmeambiwa mnahitajika? nendeni vyama vipo 19,sio lazima uwe chadema ndio ufanye siasa

Kwani huwezi fanya siasa ukiwa Chauma au Tlp?

tumieni uhuru mliopewa si kulia lia.
Ndio tushaondoka tumekuacha chawa
 
Wewe nae ni chadema? Mbona mkiitwa maandamano hamtokei,mnakuwaga wapi?
Sasa hivi mpo wengi?😝

kumbe chadema ina makamanda wengi hivi mtandaoni
Toka mwaka 2000 nimekuwa napigia kura chadema kwa nafasi zote (Rais, Bunge & Diwani)!.
Ila Mbowe akishinda tena uenyekiti kwa mara ya kwanza kbs nitaacha kuipigia kura chadema!!.
 
mkuu, walio na mtizamo wa kwako ni mamilioni.
 
Back
Top Bottom