Pre GE2025 Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe nae ni chadema? Mbona mkiitwa maandamano hamtokei,mnakuwaga wapi?
Sasa hivi mpo wengi?[emoji13]

kumbe chadema ina makamanda wengi hivi mtandaoni
Wewe uwa unatokea ebu lete picha uliwa kwenye maamdamano
 
Siku nyingine msilipeleke Nairobi peleka Muhimbili
 
Wewe uwa unatokea ebu lete picha uliwa kwenye maamdamano
Makamanda mnakuwaga wapi?😝
Maandamano anatokea Mbowe na mtoto wake makamanda mmejificha mitandaoni jf
Leo mmejaa humu mnampangia eti hafai aondoke😝,ulishaona wapi hii Duniani?

Hata mjinga wa Mwisho hawezi kubali,huo ujinga wenu

Mbowe shikilia hapo hapo,wao ndio waondoke

Kudadeki zenu manyumbu
 
Mzee Mbowe wewe unajua hicho chama ni biashara yako binafsi unajua bila Uenyekiti utakosa relevance utapigwa njaaa balaa😀😀😀
 
Mashina yanajengwa wenye shina sehemu husika au yanajengwa mwenyekiti wa chama taifa?...acheni upuuzi wenu
Hebu taja shina la ccm hata moja ambalo limejengwa na SSH?
 
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko Mbowe a.k.a Museveni
 
Mh. Mbowe ana busara sana - si mkurupukaji na ndiyo kinamfanya aitwe jabari la siasa Tanzania na Africa.
kweli mkuu ndio maana amekaa kwenye uenyekiti 20 yrs na bado anataka awe kama mugabe
 
Kule nyumbani kwake alitengeneza maigizo kwani watu waliovamia wasingeweza kupata viti vingi vya kukaa ina maana alipanga mapema
Alisema walimpa taarifa kuwa watamtembelea
Ila hakujua lengo lao ni nini.

Kwa haya anayoyasema sasahivi atatufanya tuamini kwamba aliwapanga.
 
Ila nyie,MBOWE anatia huruma sana!!
 
Alitaka atangaze nia mapema ili AMFURUSHE kwenye chama haraka? Hizo ni mbinu za kivita.
 
🤣

Hata Ms. Kiuruwi naye kamchenjia.

Kuishi kwingi ni kuona mengi.

Wamwachie tu Yuki Chiba aiongoze saccos yao tuone atapoifikisha.
Mtu MWEUSI hata akiishi na watu waliostaarabika bado hawezi kuwa na akili. Ulemavu wa TAL ni "man made", unahusiana vipi na utambulisho wake? Acha dharau maisha ni safari..
 
Mbowe ametuchezea sana kwa miaka mingi, hakuna mpinzani wa dhati pale.
 
Muhimbili utapelekwa wewe KAPUKU, Mungu hadhiakiwi.
muulize mama yako kama mimi kapuku, short of that tusingelikuzaa. Mimi ndiye baba yako, huyo unayemuita baba yako ni wa kufikia tu. hicvyo kuwa na heshima na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…