Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa yuko ofisini, anatakiwa kujiuzulu.
Mbowe akaongeza kuwa, "...lakini pia anasema eti hizo bandari nyingine hazipo kwenye mkataba, lakini mkitaka kufanya chochote eti tutawaomba Dubai. Huko ndio kupoteza uhuru wetu, kwamba mamlaka yetu ya nchi tunawakabidhi Dubai."
Pia soma: Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World