Uchaguzi 2020 Mbowe itampa wakati mgumu sana kumnadi Lissu

Lisu ameshachacha, hata shughuli ijaanza kashachemka mapema. Na bado kazia anayo. Tusubiri mziki uanze ataondoka nchini kwa aibu baada ya uchaguzi, his political career will be over soon.
 
Kila uchaguzi una upekee wake kutokana na watu wanaoshiriki huo uchaguzi. 2015 uchaguzi ulikua wa kipekee na hauwezi kufanana tena na chaguzi zozote zinazofuatia kwa sababu kila uchaguzi unakua na watu tofauti katika ngazi mbalimbali. Hivyo Uchaguzi wa mwaka 2020 ni uchaguzi unaovutia kwa sababu Washiriki wa Uchaguzi huu kila mmoja ana Mengi ya kueleza Umma kuhusu Taifa na ni tofauti na uchaguzi wa 2015 ambapo Lowassa alikua haongei katika majukwaa ya siasa.Kuhusu Mbowe kutokua na Confidence si kweli Wakati wa kumnadi mgombea Wetu ni mpaka 26mwezi huu wa 8.Hivyo Mbowe kutokuonekana akiongea kuhusu Mgombea Wetu Mahiri si Hoja.
 
Lisu ameshachacha, hata shughuli ijaanza kashachemka mapema. Na bado kazia anayo. Tusubiri mziki uanze ataondoka nchini kwa aibu baada ya uchaguzi, his political career will be over soon.
Uko sahihi sana mkuu. Nikuongezee hili kwenye ufahamu wako, je unazijua principles za mgeni?
  1. Siku ya kwanza watu wanakuwa na hamu naye, hata yeye anakuwa na hamu sana na watu, sababu siku nyingi hawajaonani
  2. Siku ya pili bado hamu iko pale pale ila si kama ya siku ya kwanza
  3. Siku ya tatu watu wameshaanza kumzoea
  4. Siku ya nne watu wameshaanza kumchoka
  5. Ya tano, anaanza kutamani kurudi kwake
  6. Kasi ya kurudi ndo inazidi kupanda
  7. Mgeni hapa hana hamu tena ya kukaa
  8. Lazima atoke
Watu saizi wameshamzoe Lisu ndugu yangu, ndo na kauli zimeanza kubadilika
 
I doubt your conclusion mkuu, ila ndugu yangu endelea kutafakari sana, mimi naamini Mh. Mbowe hana furaha kama ya ukawa ule for really.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] r.i.p Bi kidude ...mgeni siku ya kwanza
 
Mkuu utafiti wako ningeuunga mkono endapo muda wa kampeni ungekuwa umefika. Nimeangalia Tamasha letu la Miziki ya kampeni,nimeshtuka aina ya watu watakaomnadi Mh. Mkuu wetu!
Ninafikiri, ni vyema tusubiri kampeni zianze.
Hata hivyo, hadi sasa TL hana redio wala TV za kumpamba kama tunavyoona kwa wengine, nahisi muda ukifika kutakuwa na usawa na ndipo tumpime huyo Mwenyekiti.
 
Kam
Kama mbowe akikosa confidence wewe na chama chako cha kijani kibichi na yesu wa Tanzania kinawauma nini?
 
Rubbish thread [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Nyie jamaa na jiwe wenu mmefanya kampeni na kutukana watu miaka mitano peke yenu, mmevumiliwa. Lissu kuongea week moja tu mikanda imeanza kupwaya. Mods hizi threads zinazomuhusu Lissu kutoka kwa wanalumumba mziunganishe ziwe moja
@moderator fanyia kazi wazo la mdau hapa
 
Hivi wewe unamjua Magu, usijitoe ufahamu, Magu is hur the best president of our life time ever! Dunia nzima wanamjua wewe usilete utani kabisa. Amelipa heshima kubwa saba taifa letu
Hizi ID's zilizoanzishwa recently, katika kuliokoa jahazi linalozama la wana-Lumumba, zinatia huruma sana!

Kejuu joined JF on 20/05/2020
 
Mbowe nadhani kisiasa tayari kashapitwa na wakati japo kuna minung'uno kuhusu kuzomewa kwake tena Jimboni kwake hili linatoa picha halisi ya siasa za Mh mbowe.
 
Mkilala Lissu, mkiamka Lissu, mkiwa chooni Lissu, kanisani mnamuwaza Lissu, tulieni dawa iwaingie, huwezi mfananisha ibilisi na Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…