- Thread starter
- #61
Huyu ndugu ingekuwa rahisi kuongeza miaka mingine 10, tutakuwa mbali sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Katika uchaguzi ambao niliufuatilia kwa karibu kubwa sana tangia nianze kufuatilia siasa na wanasiasa, basi ulikuwa ule wa 2015. Ulikuwa uchaguzi wa kipekee sana kuwahi kutokea hapa nchini, na ulikuwa uchaguzi mgumu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ila CCM walicheza karata kubwa sana ya kumweka Mh. Magufuli. Kwa kutumia rekodi za nyuma za umahili wake wa uchapazi kazi katika kila wizara aliyoteuliwa, ilinifanya kura yangu nimpe huyu ndugu. Na kama CCM wangempitisha Membe, basi kura yangu ingeenda kwa Mh. Lowasa. Na itachukua miaka mingi sana kuwa na uchaguzi kama ule.
Kamari ambayo waliicheza Ukawa, hasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kumkaribisa Mh. Lowasa (), Mh. Mbowe alikuwa na furaha mno na confidence kubwa sana huku alikuwa anajua kabisa Lowasa anaenda kuingia Ikulu, kulingana na nyota ya siasa amabayo Lowasa alikuwa nayo ambayo ilisababishwa na kuwa na maandalizi ya muda mrefu kwa nafasi hii kubwa kabisa katika kulitumikia taifa. Kama ukisikia mafuriko ya watu kipindi cha Mh. Lowasa, basi yalikuwa mafuriko kwelikweli, Tundulisu hawezi hata kumfikia nusu yake ()
().
Kipindi hiki naona kama Mh. Mbowe hana ile confidence kabisa ambayo aliyokuwa nayo 2015 kipindi cha Mh. Lowasa (). Kwa kutumia uwezo wangu, ambao amenipa mwenyezi Mungu wa kusoma saikolojia ya mtu, yafuatayo yanaweza kuwa ndio sababu ya Mh. Mbowe kuloose confidence kabisa kuelekea uchaguzi mkuu, yaani hajui kinachoenda kutokea. TL alipokuwa Arusha kusaka wadhamini, wananchi walimtaka Mbowe aongee, Mbowe akaja na hakusema chapuo lolote kwa TL, badala yake alitaja kauli mbiu tu (). Kwa jambo hili kwangu linaweza kubeba hoja zifuatazo:
Namalizia nakusema, Mh. Mbowe hana confidence kabisa kwenye uchaguzi huu, japokuwa wengine wanaonekana wanayo, ila ni tofauti sana na huyu ndugu, anajua kabisa Lisu hawezi kuifikia level ya Lowasa, hata nusu yake hawezi, ila ataleta upinzani angalau kidogo tu.
- Mbowe alikuwa anajua kabisa kuwa watu walikuwa wanamtaka Tundulisu ili aweze kupeperusha bendera ya uraisi Chadema kwa sababu ya lile tukio la mashambulizi dhidi yake ili kulenga kura za huruma ya wananchi, ila bado najiuliza kwa nini aliamua naye kutangaza nia, baadae akaacha?
- Au Mbowe aliogopa aibu ya kushindwa na Lisu, maana asilimia kubwa ya wajumbe walikuwa wanataka Lisu apeperushe bendera?
- Kuna uwezekano Mh. Mbowe alikuwa anajua kabisa, Tundulisu hana uwezo wa kupambana na Magufuli, ila kura atakazopata zitakuwa za huruma ya wananchi, ila kwakuwa mkutano mkuu ulikuwa unamtaka TL, basi hakuwa na namna yoyote zaida ya kuunga mkono
Asante,
Nawasilisha
Kejuu
Mlio wanunua...wangeongea nini sasa kama si kuongea kile mlichokubaliana kwenye mkataba wa manunuziMkiambiwa ukweli mnaleta excuse, we clip ya waitara, Lijuakali hukuziona? Kazi kwako
Mbowe nadhani kisiasa tayari kashapitwa na wakati japo kuna minung'uno kuhusu kuzomewa kwake tena Jimboni kwake hili linatoa picha halisi ya siasa za Mh mbowe.
Ndo udhaifu wa huyu raisi wao, haijui siasa, eti bwawa kubwa matrions ya hela unalifananisha na mtera, sgr na reli ya mjemani? DC kitambi hakukosea mkuuChadema wameingia mkenge kwelikweli safari hii, mgombea wao asipobadilika wataambulia sifuri yeye anaongelea kushambuliwa na corona tena kwa sauti ya kufoka ingawa leo kidogo kajirekebisha alikuwa hafoki ila alijisahau akaanza kuhubiri mafanikio ya marais waliopita ya kwamba walijenga reli barabara, mabwawa ya kuzalisha umeme, flyovers, mashule na n.k. Bado hajaeleweka kwa wananchi nia hasa ya yeye kugombea urais anataka awafanyie nini watanzania. Ngoja tusubiri kampeni rasmi zikianza labda atabadilika lakini kwa mwendo huu wa sasa kuna walakini mkubwa.
Ww unaujua upande wa pili wa Mbowe, au unaongea tu, fuatilia hizo shutuma, utajua naongea nnMlio wanunua...wangeongea nini sasa kama si kuongea kile mlichokubaliana kwenye mkataba wa manunuzi
Nyie kutuambia uongo wa kujenga LNG plant LINDI ni ukweli au uongo????Kwa saula la radio na Tv, huwezi kuruhusu misinformation kama anazotoa. Huwezi ukaenda Kenya nakusema Tanzania kuna Korona watu wanakufa na kuzikwa usiku, hakuna cha social distancing, hakuna cha mask, kwenye harakati zake unaone anachukua hatua zozote kwa tahadhari ya korona? Be open on this. Ndo maana saizi ajenda ya Korona haiongelei hapa Tz, hindo vitu ambavyo vinamtia doa. Haiba ya uraisi hana, ila ana uanaharakati, awe mstaarabu na watu watakuwa wastarabu kwake.
Hah hah hah. Naona wanalumumba presha inapanda presha inashuka, kisa Tundu Lissu!Hakuna anayekulazimisha kuchangia
Dogo jibu hoja siyo kuleta upopoma hapa20,000/= uliyopewa ndio imeishia hapa?
Kwa uelewa wako wewe unaangalia gharama za ujenzi wa mwaka huu na unalinganisha na gharama za ujenzi za miaka ile??? Kweli punguani sana weweNdo udhaifu wa huyu raisi wao, haijui siasa, eti bwawa kubwa matrions ya hela unalifananisha na mtera, sgr na reli ya mjemani? DC kitambi hakukosea mkuu
Lissu si mwanasiasa ila analazimisha siasa matokeo yake kila anapohutubia wananchi badala ya kuongeza kura anapunguza kura na kitu cha kushangaza kwa vijana na wapenzi wa Chadema hawalioni hilo ingawaje baadhi ya viongozi wa juu wa Chadema walishaliona tatizo ila kutokana na shinikizo la wachama wao hawakuwa na jinsi.Lisu ameshachacha, hata shughuli ijaanza kashachemka mapema. Na bado kazia anayo. Tusubiri mziki uanze ataondoka nchini kwa aibu baada ya uchaguzi, his political career will be over soon.
Unamfananisha Lowassa aliyekuwa hata kusalimia anashindwa na shujaa fundi Lissu mzee wa spana kali hadi mnakimbiana???Kumlinganisha Mh. Lowasa na TL, nikumdhalilisha yule Mzee wa watu. Yule alikuwa na mvuto wa kisiasa hatari. Ndugu yako huyu anaonge utadhani anataka kumpiga mtu, kajaa jaziba mpaka kapitiliza, atakuwa raisi gani wa namna ile?
kiswahili fasaha chenyewe hukijui, huna hojaWaache waje, nawasubilia
Kama mngekuwa mnajua kuwa atapwaya Kwa nini mlimpiga risasi???Jama hawa wana akili za ajibu sana, wavivu sana kuchambua mambo, Lisu atapwaya sana ngoja mitambo ya kijani itakapoanza
We mjinga sana, hata hujui unaongea nini, we unajua mtera inatoa megawatts ngap? Na hilo litatoa ngapi, idiot. Ndo unyumbu huo, jakaya alisema akili za kuambiwa chanaganyana nazakoKwa uelewa wako wewe unaangalia gharama za ujenzi wa mwaka huu na unalinganisha na gharama za ujenzi za miaka ile??? Kweli punguani sana wewe
Tubadili lugha basikiswahili fasaha chenyewe hukijui, huna hoja
Mm sina muda wa kuchunguza upande wa pili wa watu kwa sababu sio mbeaWw unaujua upande wa pili wa Mbowe, au unaongea tu, fuatilia hizo shutuma, utajua naongea nn
Kama amechacha kwa nini mnawehuka humu kila saa kuanzisha thread zinazomuhusu???? Kawashika pabaya na bado nawaambia!!! Lazima mtembee uchi nyie lumumba hadi ifike octoberLisu ameshachacha, hata shughuli ijaanza kashachemka mapema. Na bado kazia anayo. Tusubiri mziki uanze ataondoka nchini kwa aibu baada ya uchaguzi, his political career will be over soon.
Chachawangwe aliuliwa na nan?Kama mngekuwa mnajua kuwa atapwaya Kwa nini mlimpiga risasi???
Ndo maana utabaki hivo hivo. Kwenye research huwa kunakipengele cha kufanya literature review, unakijua? Basi kifanyie kaziMm sina muda wa kuchunguza upande wa pili wa watu kwa sababu sio mbea