Mbowe jitafakari ni muda wa kuachia Madaraka kwenye Chama chako, onesha Mfano

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama nitawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
 
Akistaafu kwa heshima kidogo iliyobakia atakuwa ameitendea haki career yake yote ya kisiasa.

Ila akiamua kukomaa ataondoka kwa aibu kuu.
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha

Jirani hatukaribishani. Au kwa kuwa [emoji629] tunawasaidia kidogo kidogo Ukraine [emoji1255] Ila Gas yenu bado tuhitaji kwa ajili ya Heizung winter hii.
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
Wewe chawa utakoma mwaka huu
 
Mbowe muachie Lissu aongoze Chama
Naona wewe una mpango wa kuiua kabisa chadema. Ni kweli chadema iko 'intensive care unit', kumwachia lisu ni kuipeleka mortuary kabisa: chadema itakufa. Shauri mtu mwingine; Msigwa yupo, Heche yupo, lakini siyo lisu. Kichaa hakabidhiwi rungu.
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
Haendi popote; kama unakula sumu, kufa tutakula Ubwabwa, we wa kazi Gani sukumagang, kufa ulifuate Lile Lucifer Magufuli Kule jehanamu!
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
Unda chama chako nyumban kwenu ili muwe mnaachiana mtakavyo na mbowe hataachia uenyekiti kwa matakwa ya uvccm na sukuma gang, kuhusu kuondoa ukomo huko ccm unaonyesha ni jins gan ulivyo zwazwa hujui hata katiba inayoweka ukomo wa urais ndio maana uvccm huwa nawaita nguruwe kwa umbulula wenu.
 
Ndiyo shida yetu Waafrika. Kitakachotokea anaweza asiondoke kabisa.. Ila huu ukawa ni mwisho wa Chadema kama Chama Kikuu cha Upinzani, kama ilivyokuwa enzi za Mzee wa Kiraracha..
day light dreamer.
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
Ondoka wewe JF haondoki mtu kwenye Uenyekiti wa chadema!
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
Ataachia siku CCM ikiacha kung'ang'ania Madaraka.
 
Ndiyo shida yetu Waafrika. Kitakachotokea anaweza asiondoke kabisa.. Ila huu ukawa ni mwisho wa Chadema kama Chama Kikuu cha Upinzani, kama ilivyokuwa enzi za Mzee wa Kiraracha..
Kwa kauli yake ya jana ya lengo la CHADEMA ni kumsaidia MAMA ndio basi Tena alamsiki.

"Unafiki na uongo hulaanisha taifa, taifa letu linawatu wengi wasiosema na kuuwishi ukweli, hili ni chimbuko kubwa la mporomoko wa maadili, nakusihi sana mama epuka mtu yeyote anayejiita chawa wako, Mhe.Rais sisi wengine tumechagua kusema ukweli, na kukataa dhambi ya unafiki, tumelipa gharama kubwa kwa misingi na misimamo yetu hiyo, tunaamini ukweli, uwazi kutokuwa wanafiki, ndio njia bora ya kukusaidia uweze kuwa kiongozi bora"Mhe.Mbowe (ITV)
 
Back
Top Bottom