MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Sukuma gang on the beatMbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?
Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,
Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu
Hizi vodka za Urusi haha