Mbowe jitafakari ni muda wa kuachia Madaraka kwenye Chama chako, onesha Mfano

Mbowe jitafakari ni muda wa kuachia Madaraka kwenye Chama chako, onesha Mfano

Ccm ikichanganya nafasi ya rais kuwa mwenyekiti na Chadema watafanya
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama nitawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
Yaani kuweka ukomo wa uongozi ndiyo kipimo cha demokrasia? Hii itakuwa ni elimu mpya na tafsiri mpya ya demokrasia.

Hivi marehemu alivyokata majina 75% ya wagombea ubunge kupitia CCM waliokuwa wamepitishwa na wajumbe, na kuwapachika wa kwake, maadam kuna ukomp, bado unaona ni demokrasia, kwa vile tu kuna ukomo wa kipindi cha Urais?

Au kama inavyofanya CCM, tuna ukomo wa kipindi cha Urais lakini huyo Rais anavyopatikana ni kwa njia chafu ambazo hakuna hata mtu mmoja anayeweza hata kutamka kama kweli anayetangazwa kuwa Rais ndiye aliyechaguliwa na wananchi (Jaji Lubuva, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi alipohojiwa na BBC aliulizwa kama ana uhakika kuwa kura alizozitangaza, ndizo alizopata aliyemtangaza kuwa Rais, alisema hana uhakika. Akasema yeye anatangaza kwa kuangalia tu kura alizotumiwa na wakurugenzi wa Wilaya). Lakini kwa vile tu kuna kipindi cha ukomo, basi demokrasia ipo?

Kwa kigezo tu kuwa ukomo wa uongozi ndiyo kipimo cha demokrasia, nchi ziziso na ukomo wa muda wa uongozi, kama Ujerumani, ina maana hazina demokrasia?

Hivi kukiwa na kipindi cha ukomo wa Urais, halafu kakikundi tu ka watu wachache, wanaachiana Urais kila baada ya kipindi fulani, utasema hiyo ni demokrasia?

Katika kusoma, kutembea, na kusafiri kote, iwe ni Africa, America au Ulaya, sijawahi kusikia kuwa kipimo cha demokrasia ni kuwa na muda wa ukomo kwa kiongozi. Kote wanaongelea mchakato wa upatikanaji wa kiongozi, kuwa mfumo uwe huru, wa haki na wa wazi.

Zungumzia mambo ambayo ni logical. Huyo Mbowe yupo kwenye nafasi hiyo kwa kukiuka misingi gani ya demokrasia.
 
Anaongoza wajinga kibao Ufipa. Sasa anawezaje kuachia kiti
CCM ni chama kinaungwa mkono zaidi na wajinga. CHADEMA inapendwa zaidi na vijana na wasomi = TWAWEZA.

Hakuna shaka, unavyoleta hoja zako hapa JF, na michango yako yote, inadhihirisha kuwa lazima wewe utakuwa kati ya waliofanya TWAWEZA wafikie hiyo conclusion.
 
Unaposema mna mpango wa kufuta ukomo wa urais una maana ipi? Au unafikiri cheo cha urais ni cha ccm?
Ni wapi ulisha ona cheo cha m/miti wa chama cha upinzani wakabadili uongozi kiholela?
 
Demokrasia inaishia kwenye ukomo?!
Hii itakuwa ngumu kwa sababu Mrithi wake James "Harry" Mbowe bado hajakomaa kisiasa ingawa naona kapewa apprenticeship kwa Lema majuzi tulisikia wakiungana kuwalaani bodaboda na ugali. Ni bora tufanye 2035 waje kupambana na Bashe.
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama nitawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
cjuwi nikuite mjinga au mpumbavu.Kwani mbowe unapofika uchaguzi0huwa hauitishwi au anajitangaza kuwa mwenyekiti?
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama nitawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
Twamekusikia shaka hamidu
 
Ukiona mchawi anakufundisha jinsi ya kulea mwanao, hawa chawa shida ktwelikweli
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama nitawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha

Usipoteze muda Mbowe haondoki mpaka katiba mpya ipatikane. Tunajua uhusiano mzuri wa Mbowe na Raisi unasumbua mafisadi wengi
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama nitawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
Mpeni uenyekiti Mr. Ugali

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?

Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,

Mbowe muachie Lissu aongoze Chama nitawapa mbinu

Hizi vodka za Urusi haha
Kwa siasa na uchumi wa nchi hii ni heri Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti hadi katiba mpya ipatikane!
 
Jamaa achie kula pesa za wajinga?

Haha Sacoss inasubiri James akue aingie kulinda maslhai ya dingilai
James hawezi vaa viatu hata vya Ole Sosopi achilia mbali baba yake Mbowe. Yule dogo sio mwanasiasa kabisa. Anachofanya Mbowe ni kulazimisha kumrithisha mwanae chama huku akiwa hana uwezo kabisa. Mbowe atafute mrithi mwingine ndani ya familia yake ili kulinda chama cha familia kisiangukie kwenye mikono ya mtu baki kama Lissu.
 
Simshauri Sultani Mbowe kumrithisha mali yake ya urithi mtu baki. Arithishe CHADEMA kwa mwanafamilia yake.
 
Back
Top Bottom