britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Demokrasia inaishia kwenye ukomo?!Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?
Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,
Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu
Hizi vodka za Urusi haha
Wewe chawa utakoma mwaka huuMbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?
Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,
Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu
Hizi vodka za Urusi haha
Kichaka kimewaka panya na mijusi ishajitokezaJamaa achie kula pesa za wajinga?
Haha Sacoss inasubiri James akue aingie kulinda maslhai ya dingilai
Naona wewe una mpango wa kuiua kabisa chadema. Ni kweli chadema iko 'intensive care unit', kumwachia lisu ni kuipeleka mortuary kabisa: chadema itakufa. Shauri mtu mwingine; Msigwa yupo, Heche yupo, lakini siyo lisu. Kichaa hakabidhiwi rungu.Mbowe muachie Lissu aongoze Chama
Haendi popote; kama unakula sumu, kufa tutakula Ubwabwa, we wa kazi Gani sukumagang, kufa ulifuate Lile Lucifer Magufuli Kule jehanamu!Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?
Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,
Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu
Hizi vodka za Urusi haha
Unda chama chako nyumban kwenu ili muwe mnaachiana mtakavyo na mbowe hataachia uenyekiti kwa matakwa ya uvccm na sukuma gang, kuhusu kuondoa ukomo huko ccm unaonyesha ni jins gan ulivyo zwazwa hujui hata katiba inayoweka ukomo wa urais ndio maana uvccm huwa nawaita nguruwe kwa umbulula wenu.Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?
Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,
Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu
Hizi vodka za Urusi haha
day light dreamer.Ndiyo shida yetu Waafrika. Kitakachotokea anaweza asiondoke kabisa.. Ila huu ukawa ni mwisho wa Chadema kama Chama Kikuu cha Upinzani, kama ilivyokuwa enzi za Mzee wa Kiraracha..
CCM waliozoea kuuwa watu ili walipwe Mbowe amewanyoosha na hatatoka mpaka wote muishe kufa ndio atatoka.Jamaa achie kula pesa za wajinga?
Haha Sacoss inasubiri James akue aingie kulinda maslhai ya dingilai
CCM hasa sukuma gang Mbowe amewanyoosha na bado mpaka muishe kufa ndio atatoka.Anaongoza wajinga kibao ufipa, Sasa anawezaje kuachia kiti
Ondoka wewe JF haondoki mtu kwenye Uenyekiti wa chadema!Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?
Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,
Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu
Hizi vodka za Urusi haha
Wahafidhina Jana mama kathibitisha mpo ccm huko muda wenu wa kuny.povu Sasa umefika.Akistaafu kwa heshima kidogo iliyobakia atakuwa ameitendea haki career yake yote ya kisiasa.
Ila akiamua kukomaa ataondoka kwa aibu kuu.
Ataachia siku CCM ikiacha kung'ang'ania Madaraka.Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?
Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha,
Mbowe muachie Lissu aongoze Chama ntawapa mbinu
Hizi vodka za Urusi haha
Kwa kauli yake ya jana ya lengo la CHADEMA ni kumsaidia MAMA ndio basi Tena alamsiki.Ndiyo shida yetu Waafrika. Kitakachotokea anaweza asiondoke kabisa.. Ila huu ukawa ni mwisho wa Chadema kama Chama Kikuu cha Upinzani, kama ilivyokuwa enzi za Mzee wa Kiraracha..