Mbowe jitafakari ni muda wa kuachia Madaraka kwenye Chama chako, onesha Mfano

Sukuma gang on the beat
 
Humuwezi Mbowe wewe, kaa kimya TU acha mambo ya flow
 
Britanica
kwanini unakosa uelewa mdogo kiasi hiki. Wewe umekuwa mtu wa tafakari sana lakni hapa umekwama, Hebu msome kidogo Mh. Mwenyekiti kujua malengo ya CHADEMA

"Unafiki na uongo hulaanisha taifa, taifa letu linawatu wengi wasiosema na kuuwishi ukweli, hili ni chimbuko kubwa la mporomoko wa maadili, nakusihi sana mama epuka mtu yeyote anayejiita chawa wako, Mhe.Rais sisi wengine tumechagua kusema ukweli, na kukataa dhambi ya unafiki, tumelipa gharama kubwa kwa misingi na misimamo yetu hiyo, tunaamini ukweli, uwazi kutokuwa wanafiki, ndio njia bora ya kukusaidia uweze kuwa kiongozi bora"Mhe.Mbowe
 
Naona wewe una mpango wa kuiua kabisa chadema. Ni kweli chadema iko 'intensive care unit', kumwachia lisu ni kuipeleka mortuary kabisa: chadema itakufa. Shauri mtu mwingine; Msigwa yupo, Heche yupo, lakini siyo lisu. Kichaa hakabidhiwi rungu.
Wahafidhina on the beat!!
 
Akistaafu kwa heshima kidogo iliyobakia atakuwa ameitendea haki career yake yote ya kisiasa.

Ila akiamua kukomaa ataondoka kwa aibu kuu.
Unajua hadi sasa wanachama na wapenzi wa chama hicho hadi sasa hawajui kinachoendelea huko kwenye maridhiano, kama tusivyojua sisi sote.

Siku watakapotangaziwa maridhiano yalikofikia, siku hiyo ndiyo itakayokuwa mwisho wa Mbowe, au mwisho wa CHADEMA.

Kosa kubwa kabisa alilofanya ni hiyo siri kubwa, nadhiri aliyolishwa na CCM kwa lengo maalum.
 
Haya maneno kayasema Mbowe, akimsemea mtu ambaye kafanya kazi na Magufuli kwa zaidi ya miaka sita!.

Huyu Mbowe, anadhani huyo mtu aliwezawezaje kubaki na kuaminiwa na Magufuli kwa muda wote huo?

Mbowe haoni huyu mtu anao ufundi mkubwa sana juu ya hayo anayoyasema Mbowe?
 
Cha kushangaza wanaochukizwa na uenyekiti wa Mbowe ni CCM!! Ila wanajifanya hawaoni Mwenyekiti wa UDP, Cheyo Tsangu 1992! Wala hawaoni uenyekiti wa CUF wa Lipumba! Mbowe kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA hakusababishi wizi, ufisadi uliojaa serikalini. Ifike wakati CCM waachie madaraka maana hata baada ya miaka 60+ ya uhuru, ajira ya maana kwa vijana wanaona ni bodaboda!! Hilo ndio inatakiwa iwe kauli mbiu!! Inawezekana vipi baada ya miaka 60 ya uhuru, hii serikali ya CCM inaona ajira inayowafaa vijana ni kuendesha bodaboda!!
 
Mufute ukomo wa Rais kuongoza kwani Tanzania ni ya ccm?Unapozungumzia chama cha siasa basi ulinganisho ufanye na chama chako cha siasi sio nchi
 

Anza wewe , Pilipili usiyoila yakuwashia nini?
 
Tayaaar hapo umemaliza justification yako ya Mbowe kutoka madarakani 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbowe lazima aendelee kuwa mwenyekiti kama hamtaki kaanzisheni chama chenu
 
Juzi nimeota jambo baya sana limemfika muheshimiwa Tundu la choo
 
Mbowe ndio kwanza anahitajika CHADEMA, labda baada ya miaka 20 hivi tutakubali aachie ngazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…