Nyakarungu
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 472
- 377
Alimshinda Magufuli? Kiaje mkuu? Mbona aliufyata Hadi alipokufa ndio akaenda kusherekea? Na mbona hajitoi gerezani Kama Ni mwamba kiasi hicho? Je yeye ndiye alomuua Hayati JPM au unamaanisha Nini kusema alimshinda?Sirro hana uwezo wa kumshinda Mungu , ni mtu mdogo sana ambaye siku zake kwenye utumishi wa umma zinahesabika , Mbowe alimshinda Magufuli ndio aje kuwa huyu aliyepewa U IGP na Makonda ?