Mimi ni mwananchi ninayejitegemea . Sinufaiki chochote na siasa za vyama.
Wanufaika ndio wanaotakiwa wapiganie haki zao za kisiasa. Mimi napinga tu dhulma kwa yeyote kwani binadam anapaswa kuishi kwa ustarabu na kutenda haki kwa wengine.
Mtendee mwenzako kile unachotaka utendewe na usimtendee kile usichotaka kutendewa wewe.
Nitaacha kunywa pombe mwezi mzima na kupanda bodaboda mpaka Mbowe aachiwe kuonyesha kuchukizwa kwangu na binadam kumtafutia binadamu mwingine mabaya wakati korona inawamaliza watu bila kujali vyama.
Tunapaswa kuombeana na kutendeana mema mana adui corona anafyeka watu bila huruma.
Sent from my TECNO L8 Lite using
JamiiForums mobile app