Nyakarungu
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 472
- 377
Alimshinda Magufuli? Kiaje mkuu? Mbona aliufyata Hadi alipokufa ndio akaenda kusherekea? Na mbona hajitoi gerezani Kama Ni mwamba kiasi hicho? Je yeye ndiye alomuua Hayati JPM au unamaanisha Nini kusema alimshinda?Sirro hana uwezo wa kumshinda Mungu , ni mtu mdogo sana ambaye siku zake kwenye utumishi wa umma zinahesabika , Mbowe alimshinda Magufuli ndio aje kuwa huyu aliyepewa U IGP na Makonda ?
Sababu za kifo cha Magufuli zilitajwa na SamiaAlimshinda Magufuli? Kiaje mkuu? Mbona aliufyata Hadi alipokufa ndio akaenda kusherekea? Na mbona hajitoi gerezani Kama Ni mwamba kiasi hicho? Je yeye ndiye alomuua Hayati JPM au unamaanisha Nini kusema alimshinda?
Acha tuHivi huyo mbowe huwa ni malaika?maana sio kwa kumsifia huko
Kwa kukimbilia Dubaiwacha siasa za maji taka broo
Mbowe alimshinda Magufuli nini
Mbona yuko ndani? Mungu yuko wapi?Sirro hana uwezo wa kumshinda Mungu , ni mtu mdogo sana ambaye siku zake kwenye utumishi wa umma zinahesabika , Mbowe alimshinda Magufuli ndio aje kuwa huyu aliyepewa U IGP na Makonda ?
Mbona mnapenda sana kumkimbilia Mungu. Hamna uwezo wa kupambana na mnategemea miujiza? Kwa mwendo huu, tutegemee siku moja, upinzani mtaanza kutumia wachawi kupambana na CCM.Sirro hana uwezo wa kumshinda Mungu , ni mtu mdogo sana ambaye siku zake kwenye utumishi wa umma zinahesabika , Mbowe alimshinda Magufuli ndio aje kuwa huyu aliyepewa U IGP na Makonda ?
Magufuli yuko wapi sasa ?Mbona mnapenda sana kumkimbilia Mungu. Hamna uwezo wa kupambana na mnategemea miujiza? Kwa mwendo huu, tutegemee siku moja, upinzani mtaanza kutumia wachawi kupambana na CCM.
By the way, Mbowe alimshinda vipi Magufuli. Maana as far as I know, 2020 'aliwanyang'anya' wabunge na halmashauri zote, na mgombea wenu akakimbia nchi.
Sasa hapo Mbowe amemshinda nini sasa! Au una maanisha yeye ndiye aliyemuua?Magufuli yuko wapi sasa ?
Jibu swaliSasa hapo Mbowe amemshinda nini sasa! Au una maanisha yeye ndiye aliyemuua?
Naamini wewe ni muelewa kiasi cha kutosha kuweza kung'amua kuwa swali langu hilo lina majibu ndani yake.Jibu swali
Usishindane na aliyejaaliwaHivi huyo mbowe huwa ni malaika?maana sio kwa kumsifia huko
Magufuli alianza kushindwa kabla hajafa , alifikia hadi kuiba hela za Mbowe kwenye akaunti , ulisikia Mbowe ametetereka ?Naamini wewe ni muelewa kiasi cha kutosha kuweza kung'amua kuwa swali langu hilo lina majibu ndani yake.
Magufuli kufariki, Mbowe anakuwa ameshinda vipi? [emoji848]
From about 100 MPs to 0. From hundreds Councilors to Zero. Froms about tens Councils to 0. Bado unasema Mmlimshinda Magufuli. Unafaa kuwa Mchungaji. Neno la faraja unaliweza sana.Magufuli alianza kushindwa kabla hajafa , alifikia hadi kuiba hela za Mbowe kwenye akaunti , ulisikia Mbowe ametetereka ?
Sasa ndiyo kushinda kwaMbowe huko shida yako unakuwa muoga hata kuandika wakati uko peke yako na huna kitu mfukoni, unajaribu kuondoa stress za uvivu wa kutokufanya kaziMagufuli alianza kushindwa kabla hajafa , alifikia hadi kuiba hela za Mbowe kwenye akaunti , ulisikia Mbowe ametetereka ?
Kwa uchaguzi upi ?From about 100 MPs to 0. From hundreds Councilors to Zero. Froms about tens Councils to 0. Bado unasema Mmlimshinda Magufuli. Unafaa kuwa Mchungaji. Neno la faraja unaliweza sana.
Umeamua kuandika tu ili ulipwe !Sasa ndiyo kushinda kwaMbowe huko shida yako unakuwa muoga hata kuandika wakati uko peke yako na huna kitu mfukoni, unajaribu kuondoa stress za uvivu wa kutokufanya kazi
Chaguzi hizo hizo za 2019 & 2020.Kwa uchaguzi upi ?