Na Wengine Wakajitolea Kutengeneza Geti Lililovunjwa Ili Mbowe Asisuse Kuchukua Fomu Ya Kugombea UenyekitiSi yeye, hao wanaomlazimisha ndio waliofanya maandalizi yote hayo kwa nguvu. Inadaiwa kuwa yeye alijaribu kuwazuia lakini wakamzidi nguvu wakavunja geti wakaingiza hayo ma-tents na viti wakaanda kila kitu bila ridhaa yake
Hahahaha du !Si yeye, hao wanaomlazimisha ndio waliofanya maandalizi yote hayo kwa nguvu. Inadaiwa kuwa yeye alijaribu kuwazuia lakini wakamzidi nguvu wakavunja geti wakaingiza hayo ma-tents na viti wakaanda kila kitu bila ridhaa yake
Sawa. Hao ni watu wanaonufaika na mgongo wake. Hivi unadhani mtu Kama John mrema atataka mbowe aondoke?Si yeye, hao wanaomlazimisha ndio waliofanya maandalizi yote hayo kwa nguvu. Inadaiwa kuwa yeye alijaribu kuwazuia lakini wakamzidi nguvu wakavunja geti wakaingiza hayo ma-tents na viti wakaanda kila kitu bila ridhaa yake
Geofrey Mungai anaemsapoti ni bilionia.Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Nani alikuambia lisu hakujaza ukumbi mlimani city bila kutumia pesa kuwahongaMtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Huu ujinga alikuwa anafanya Lowassa pia, kumbe Mbowe naye akili zile zile! Mbowe atambue ikifika wakati wa mabadiliko ni wa mabadiliko tu. Inabidi ujiulize ilikuwaje apange viti nyumbani kwakwe wakati hajui idadi ya wahudhiriaji?Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Nyie CCM kwanini mnaingilia siasa za vyama vingine wakati ccm hali inazidi kuwa mbaya.Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Is a Iron Man ❌️Tundu Lissu is a Iron Man
Haaa akivaa kile kilemba kapata kura yangu chap!!Ayatollah mbowe 🤣🤣🤣🤣
Mwamba Mbowe ajichunge na Machawa.Si yeye, hao wanaomlazimisha ndio waliofanya maandalizi yote hayo kwa nguvu. Inadaiwa kuwa yeye alijaribu kuwazuia lakini wakamzidi nguvu wakavunja geti wakaingiza hayo ma-tents na viti wakaanda kila kitu bila ridhaa yake