Tuwekee risiti inayoonyesha jina la mlipaji na mlipwaji. Otherwise ni fununu tu za nimeambiwaMtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Kuna wafuasi wa cdm uwa wanawasema vibaya kagame na mu7Mbowe ni kiboko ni zaidi ya Mugabe isee hataki kuachia madaraka huyu ndio angepewa Urais si ingekua balaa..
Angeita police kuwa kavamiwa.Si yeye, hao wanaomlazimisha ndio waliofanya maandalizi yote hayo kwa nguvu. Inadaiwa kuwa yeye alijaribu kuwazuia lakini wakamzidi nguvu wakavunja geti wakaingiza hayo ma-tents na viti wakaanda kila kitu bila ridhaa yake
Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na chiembe wangekuwa na mods wanaumia sana na hizi hojaMtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
umoja wa wenyeviti wa chadema wa mikoa zaidi ya 29 kati ya 31 ndio haswaa walioandaa kusanyiko lile nyumbani kwa mbowe, kumshinikiza agombee uenyekiti wa chadema taifa. BAWACHA tayari wameahidi kumlipia 1.5 milioni gharama ya fomu, kwani kuna ubaya wowote hapo gentleaman?
Kawadanganye LumumbaMtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Tunashukuru kwa taarifaumoja wa wenyeviti wa chadema wa mikoa zaidi ya 29 kati ya 31 ndio haswaa walioandaa kusanyiko lile nyumbani kwa mbowe, kumshinikiza agombee uenyekiti wa chadema taifa. BAWACHA tayari wameahidi kumlipia 1.5 milioni gharama ya fomu, kwani kuna ubaya wowote hapo gentleaman?
ni wawapi huyo kijana ulomtag?Tunashukuru kwa taarifa
Naona una details nyingi kuliko hata Erythrocyte
Sisi CCM tuwaache CHADEMA wamalize uchaguzi wao salama. Ramli chonganishi ni kama ufanyavyo sasa
Mwamba ndiye chaguo la wana CHADEMA ndio maana unaona namna watu walivyo miminika huku wakibubujikwa na machozi ya furaha.
Huyo jamaa nilishampiga tofali kitambo mnoTunashukuru kwa taarifa
Naona una details nyingi kuliko hata Erythrocyte
Sisi CCM tuwaache CHADEMA wamalize uchaguzi wao salama. Ramli chonganishi ni kama ufanyavyo sasa
Cannabis Sativa ni nuksi sana😂😂Mwamba ndiye chaguo la wana CHADEMA ndio maana unaona namna watu walivyo miminika huku wakibubujikwa na machozi ya furaha.
Ninamvumilia sana aiseeHuyo jamaa nilishampiga tofali kitambo mno
Sasa badala ya kulaumu na nyie Timu Lisu si mukodi chopa kabisa?Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Hao wenyeviti na Bawacha wanapaswa wawe nyutro wasiegemee upande wowote! Lisu anaweza akakata rufaa akishindwagharama
atakata rufaa wapi sasa gentleman?Hao wenyeviti na Bawacha wanapaswa wawe nyutro wasiegemee upande wowote! Lisu anaweza akakata rufaa akishindwa
Sanaa Groupigizo.com