Mbowe kakodi muziki ,kafunga matenti ,kajaza viti nyumbani ili wanachadema wakamuombe kugombea Tena ! Anafikirisha sana

Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Tuwekee risiti inayoonyesha jina la mlipaji na mlipwaji. Otherwise ni fununu tu za nimeambiwa
 
Si yeye, hao wanaomlazimisha ndio waliofanya maandalizi yote hayo kwa nguvu. Inadaiwa kuwa yeye alijaribu kuwazuia lakini wakamzidi nguvu wakavunja geti wakaingiza hayo ma-tents na viti wakaanda kila kitu bila ridhaa yake
Angeita police kuwa kavamiwa.
 
Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na chiembe wangekuwa na mods wanaumia sana na hizi hoja
umoja wa wenyeviti wa chadema wa mikoa zaidi ya 29 kati ya 31 ndio haswaa walioandaa kusanyiko lile nyumbani kwa mbowe, kumshinikiza agombee uenyekiti wa chadema taifa. BAWACHA tayari wameahidi kumlipia 1.5 milioni gharama ya fomu, kwani kuna ubaya wowote hapo gentleaman? :pedroP:
 
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Kawadanganye Lumumba
 
Chadema wameanza kuiga tabia za chama cha majizi?
IMG_20241218_134818.jpg
 
umoja wa wenyeviti wa chadema wa mikoa zaidi ya 29 kati ya 31 ndio haswaa walioandaa kusanyiko lile nyumbani kwa mbowe, kumshinikiza agombee uenyekiti wa chadema taifa. BAWACHA tayari wameahidi kumlipia 1.5 milioni gharama ya fomu, kwani kuna ubaya wowote hapo gentleaman? :pedroP:
Tunashukuru kwa taarifa
Naona una details nyingi kuliko hata Erythrocyte

Sisi CCM tuwaache CHADEMA wamalize uchaguzi wao salama. Ramli chonganishi ni kama ufanyavyo sasa
 
ni wawapi huyo kijana ulomtag?

ni muhimu kufuatilia hatua mbalimbali za uchaguzi huu muhimu wa chadema taifa, ili walau kuongeza ufahamu na uelewa juu ya mambo muhimu sana ya kisiasa.

itakusaidia,
achana na ushirikina na ramli, vitakuchelewesha tu :BASED:
 
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Sasa badala ya kulaumu na nyie Timu Lisu si mukodi chopa kabisa?

Mbowe ana pesa Sasa wewe ulitaka wasimamie juani kama wako Kwa Lisu kuambulia maneno anayowalisha kutoka Kwa mume wake Amsterdam? 🤣🤣
 
Hao wenyeviti na Bawacha wanapaswa wawe nyutro wasiegemee upande wowote! Lisu anaweza akakata rufaa akishindwa
atakata rufaa wapi sasa gentleman?

hata Lisu wakati anatangaza nia aliambatana na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka maeneo mbalimbali nchini?

je,
hiyo ni sahihi , na hii ya Bawcha ndiyo sio sahihi? :BASED:
 
Back
Top Bottom