Mbowe kakodi muziki ,kafunga matenti ,kajaza viti nyumbani ili wanachadema wakamuombe kugombea Tena ! Anafikirisha sana

Ya
Si yeye, hao wanaomlazimisha ndio waliofanya maandalizi yote hayo kwa nguvu. Inadaiwa kuwa yeye alijaribu kuwazuia lakini wakamzidi nguvu wakavunja geti wakaingiza hayo ma-tents na viti wakaanda kila kitu bila ridhaa yake
kweli haya uliyoandika?
 
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Dah! Anatia huruma mbaya.Kwa hali ilikofikia Kwa sasa,yeye asihangaike kugombea tena na kama hana imani na Lisu basi aweke mtu anayemtaka yeye angalau watu watamwelewa.Otherwise atajidhalilis
 
Labda aliona aibu kuomba tena kavu kavu..anataka awe na backup kuwa wanachama walimuomba sana agombee
Mwaka 2014 alifanya drama hizi tena. Wakati ule alienda kuombwa na akina mama. Mwaka 2009 wakati Zitto Kabwe amemshika Pabaya, aliwapanga wazee wa chama wakaenda kumuomba kugombea. Ni drama kulia na kushoto.
 
Huu ujinga alikuwa anafanya Lowassa pia, kumbe Mbowe naye akili zile zile! Mbowe atambue ikifika wakati wa mabadiliko ni wa mabadiliko tu. Inabidi ujiulize ilikuwaje apange viti nyumbani kwakwe wakati hajui idadi ya wahudhiriaji?
Ha ha haa 🤣🤣🤣
Hadi wewe umemchoka mwenyekiti.
Wakati umemtupa mkono Mbowe. Asome alama za nyakati awaachie wengine kiti Cha uongozi abaki kuwa mshauri tu.
 
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Hata mimi nimeshangaa na kujiuliza sana hili.
 
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Hata kama angekuwa kaombwa kweli.

Kiongozi hasubiri kuombwa agombee uongozi, akishaombwa huyo si kiongozi huyo anaongozwa.
 
Ha ha hasa 🤣🤣🤣
Hadi wewe umemchoka mwenyekiti.
Wakati umemtupa mkono Mbowe. Asome alama za nyakati awaachie wengine kiti Cha uongozi abaki kuwa mshauri tu.
Kwa taarifa yako mimi nilianza kumkataa huyo Mbowe toka ampokee Lowassa kwa njia ya vodafasta. Nilichokioona miaka 8 nyuma na nikawa nakipigia kelele kuwa Mbowe hastahili kuwa mwenyekiti wa cdm, wengi ndio wanakiona sasa. Post zangu zimo humu ndani kibao kuhusu kumkataa huyo mzee.
 
Ongera.
Mimi niliacha kabisa kuipenda CHADEMA baada ya lile tukio 2015.
Ulikuwa uhuni uliopitiliza.
Nilishangaa sana kwanini Lissu, Mdee, Mnyika, Lema, na Sugu walikubali jambo lile.
Ilinikatisha tamaa.
 
Kwa kweli
 
Ongera.
Mimi niliacha kabisa kuipenda CHADEMA baada ya lile tukio 2015.
Ulikuwa uhuni uliopitiliza.
Nilishangaa sana kwanini Lissu, Mdee, Mnyika, Lema, na Sugu walikubali jambo lile.
Ilinikatisha tamaa.
Mbowe haachi hela bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…