coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,264
- 2,676
Ombwe la uongoziSINEMA HIYO....mwisho wa mwaka unavituko kweli.
Tatizo la mbowe alihodhi uenyekiti ndio maana anaonq taabu sana kumwachia Tundu Lisu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ombwe la uongoziSINEMA HIYO....mwisho wa mwaka unavituko kweli.
Tatizo la mbowe alihodhi uenyekiti ndio maana anaonq taabu sana kumwachia Tundu Lisu.
kweli haya uliyoandika?Si yeye, hao wanaomlazimisha ndio waliofanya maandalizi yote hayo kwa nguvu. Inadaiwa kuwa yeye alijaribu kuwazuia lakini wakamzidi nguvu wakavunja geti wakaingiza hayo ma-tents na viti wakaanda kila kitu bila ridhaa yake
Dah! Anatia huruma mbaya.Kwa hali ilikofikia Kwa sasa,yeye asihangaike kugombea tena na kama hana imani na Lisu basi aweke mtu anayemtaka yeye angalau watu watamwelewa.Otherwise atajidhalilisMtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Mwaka 2014 alifanya drama hizi tena. Wakati ule alienda kuombwa na akina mama. Mwaka 2009 wakati Zitto Kabwe amemshika Pabaya, aliwapanga wazee wa chama wakaenda kumuomba kugombea. Ni drama kulia na kushoto.Labda aliona aibu kuomba tena kavu kavu..anataka awe na backup kuwa wanachama walimuomba sana agombee
Ha ha haa 🤣🤣🤣Huu ujinga alikuwa anafanya Lowassa pia, kumbe Mbowe naye akili zile zile! Mbowe atambue ikifika wakati wa mabadiliko ni wa mabadiliko tu. Inabidi ujiulize ilikuwaje apange viti nyumbani kwakwe wakati hajui idadi ya wahudhiriaji?
Hata mimi nimeshangaa na kujiuliza sana hili.Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Hata kama angekuwa kaombwa kweli.Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Kwa taarifa yako mimi nilianza kumkataa huyo Mbowe toka ampokee Lowassa kwa njia ya vodafasta. Nilichokioona miaka 8 nyuma na nikawa nakipigia kelele kuwa Mbowe hastahili kuwa mwenyekiti wa cdm, wengi ndio wanakiona sasa. Post zangu zimo humu ndani kibao kuhusu kumkataa huyo mzee.Ha ha hasa 🤣🤣🤣
Hadi wewe umemchoka mwenyekiti.
Wakati umemtupa mkono Mbowe. Asome alama za nyakati awaachie wengine kiti Cha uongozi abaki kuwa mshauri tu.
Ongera.Kwa taarifa yako mimi nilianza kumkataa huyo Mbowe toka ampokee Lowassa kwa njia ya vodafasta. Nilichokioona miaka 8 nyuma na nikawa nakipigia kelele kuwa Mbowe hastahili kuwa mwenyekiti wa cdm, wengi ndio wanakiona sasa. Post zangu zimo humu ndani kibao kuhusu kumkataa huyo mzee.
Kwa kweliKwa taarifa yako mimi nilianza kumkataa huyo Mbowe toka ampokee Lowassa kwa njia ya vodafasta. Nilichokioona miaka 8 nyuma na nikawa nakipigia kelele kuwa Mbowe hastahili kuwa mwenyekiti wa cdm, wengi ndio wanakiona sasa. Post zangu zimo humu ndani kibao kuhusu kumkataa huyo mzee.
Mbowe sasa kawa msanii .Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Noma sana! Anataka kuwa Ayatola, hivi hata hasomi alama za nyakati?Mbowe sasa kawa msanii .