Mbowe kakodi muziki ,kafunga matenti ,kajaza viti nyumbani ili wanachadema wakamuombe kugombea Tena ! Anafikirisha sana

Mwaka 2014 alifanya drama hizi tena. Wakati ule alienda kuombwa na akina mama. Mwaka 2009 wakati Zitto Kabwe amemshika Pabaya, aliwapanga wazee wa chama wakaenda kumuomba kugombea. Ni drama kulia na kushoto.
Kila mwaka lazima aseme nimelazimishwa mbowe ni museveni
 
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Kakodi mziki au kautoa store
 
Mchagga sehemu yenye mrija wa pesa hawezi achia............!! Mambo ya Demokrasia mtajua wenyewe.
 
Si yeye, hao wanaomlazimisha ndio waliofanya maandalizi yote hayo kwa nguvu. Inadaiwa kuwa yeye alijaribu kuwazuia lakini wakamzidi nguvu wakavunja geti wakaingiza hayo ma-tents na viti wakaanda kila kitu bila ridhaa yake
Nimecheka mpaka nimepaliwa na mbege yangu hapa.
 
Jamaa kaandaa igizo Kali Sana, kawapikia jamaa pilau na kuwachanganya watu apewe masaa 48 ilhali anatamani kugombea uwenyekiti.Najiuliza Sana hivi chadema hakuna wazee?
 
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Waelimisheni vijana Siasa na Sihasa. Anajiandaa kulazimishwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Sasa anatushawishi vipi kuwa akiwa raisi hatalazimiahwa kama akina Yoweri na Kagame? ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Dah! Anatia huruma mbaya.Kwa hali ilikofikia Kwa sasa,yeye asihangaike kugombea tena na kama hana imani na Lisu basi aweke mtu anayemtaka yeye angalau watu watamwelewa.Otherwise atajidhalilis
Kuna mkubwa mmoja Jana alisema, uchaguzi huu utaamua mbowe akaungane na kina lipumba kuua vyama vyao au ajitenge nap na kukaa pembeni kubaki mtiifu na mshauri mkuu kwa chama
 
Wee mbowe awe rais, miaka 10 madarakani atasema ni ya kukomaa kwanza😂😂
 
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Hahahahaaaaaa
 
Mbona mnaangaikaa sanaa wakuuu,yani Lissu na Mbowe wanawapa Stress sana ,suburini mambo yote yataendaa sawa tu.!
Mungu mbariki Lissu na Mbowe na vizazi vyao vyite..
 
madaraka ni matam jamani acheni tu...

mtu aachie ngazi wakati hajui ataelekea wapi na atakula nini
 
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Haya mambo mageni tumezoea kuyaona CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…