Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
- Thread starter
- #81
Kila mwaka lazima aseme nimelazimishwa mbowe ni museveniMwaka 2014 alifanya drama hizi tena. Wakati ule alienda kuombwa na akina mama. Mwaka 2009 wakati Zitto Kabwe amemshika Pabaya, aliwapanga wazee wa chama wakaenda kumuomba kugombea. Ni drama kulia na kushoto.