PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Unadhihirisha upo tu kati ya Mnanda anavurumisha vumbi, hata kunachoendelea hata madai huyaelewi.Model of doing successful business- bandari ni business kama ilivyo hotel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhihirisha upo tu kati ya Mnanda anavurumisha vumbi, hata kunachoendelea hata madai huyaelewi.Model of doing successful business- bandari ni business kama ilivyo hotel
Tunaongelea business modal siyo property mkuu- uwe unaelewaMmeshindwa hoja mmehamia sasa kwenye private properties?
Yaani uendeshaji wa mali ya nchi mnalinganisha na mali binafsi?
With this kind of myopic thinking where are we heading as a nation?
Hatuongelei mali ya umma, tunaongela namna ya kufanya biashara. Kami si mali ya umma, wewe ndiye Mbowe? mbona umekuja kuchangia hapa, hiyo hoteli inakuhusu?Hahahaaa!! Kwani iyo ni mali ya uma? Kiongozi. Au unafikilia kupitia (......)
Mkuu, usinione mie sina akili; kwa nini nisisome mkataba wote; why article 23(4)?hivi umesoma mkataba wa DPW? Ni wapi wanasema ni partneship, ni wapi wanasema majukumu ya dpw ni haya, si wanataja majukumu ya serikali yetu kwa wingi sana? DPW atapewa hiki, anahakikishiwa kupata hiki, nk.
Na kwa ujinga zaidi soma article 23 (4)
Mkuu asante, shida ya watu wetu wengi humu ni ZERO kwenye discussion; wana ARGUE tena kijnga sana na matusi kwa wingi. Serikali ni collection ya individual action and inaction. Mie kinachonishangaza ni vipi Mbowe ashangae serikali kuchua modal yake ya Protea Hotel?....ni mtu anayefuatilia sana mkataba huu tena kwa kwa ukaribu sana, hivyo anaujua sema labda tukirejea hapo kwenye hoja yako ya kupewa 10 ndiyo kumempofusha. Vinginevyo comte ana hoja na anakaribisha majadiliano kwenye kila uzi wake.
Huyu kauliza vema. Kwa Mbowe kuikodisha Aishi Hotel kwa Protea, kaiuza? We jibu swali. Acha jazba.Rubbish, hotel ni mali binafsi ya Mbowe
Unadhani uko sahihi na unafikiri umeelewa nilichoweka kijadiliwe?....mkataba wa Protea na hii hotel ya FAM uweke hapa na kisha weka tutaweka hapa mkataba/makubaliano ya DW World yaliyoridhiwa na bunge. Kisha tunaangalia upande wa faida ( kwa namba) kwa mikataba yote miwili.
Japokuwa uendeshaji haufanani (hotel na bandari) lakini kwa kuwa umetumia mfanano huo basi tuanzie hapo.
NB. Hakuna anayepinga uwekezaji au mkataba wa uendeshaji, kinachogomba hapa ni pale wengi wanapogundua nani anafaidika na nani analaliwa
As long as properties are involved hizo biashara zina assests ndani yake na ndio thamani ya hizo biashara tukija kwenye returns.Tunaongelea business modal siyo property mkuu- uwe unaelewa
Mkuu sawa hebu tujaribu pia hiliAs long as properties are involved hizo biashara zina assests ndani yake na ndio thamani ya hizo biashara tukija kwenye returns.
Yaani unataka kusema gharama ya kuhudumia gari ya Rais itakua sawa na binafsi as long as eti zote zitafanyiwa wheel balance and alignment?
Japo zote zitakuwa gari ila nyingine ina additional features kama bullet proof ,bomb detectors na kadhalika..
wewe unazijua terms na conditions za HGA, CONCESSION, NA LEASE AGREEMENT kati ya TPA na DP World?None sense post. ungeweka hapa terms and conditions za mikataba ya hizo protea afu tuone aina ya uwekezaji na Kila mbia anapata/anakosa nn tungeweza kukuelewa. Ivi Kwa nn mnashindwa kujielekeza kwenye hoja za watoa malalamiko ya hili dude mlilojipa jukumu la kulitetea?