Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi imeyumbaProtea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.
Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa kuyatumia makampuni yenye majina kuendeha biashara kuna tija na kunaongeza mapato. Kwa haiba yake ya upinzani najua asingependa serikali iogeze ufanisi wa bandari kwa kumtumia DP World ili isipate mapato mengi ambayo yataboresha utekelezaji wa ilani na mipango ya CCM na serikali yake
ABOUT PROTEA HOTELS
Protea Hotels is a South African hotel and leisure company headquartered in Cape Town, South Africa. As of December 31, 2018, it was the largest hotel company on the African continent, with 80 properties in ten countries with 8,497 rooms in addition to 14 hotels with 2,498 rooms in the pipeline. The company was named for the flowering plant Protea, which is unique to South Africa, and its logo features a representation of the flower.
Acha ujinga. Na hutapata chochote zaidi ya kutumika kama toilet paper, leta majibu ya juu ya muda wa mkataba, Tanzania inapata nn ktk Kila muamala, Kwa nn sheria ya Mali asili za Taifa ya 2017 ikiukwe, Kwa nn DP WORLD wapewe Kila aina msamaha wa Kodi kadiri watakavyo, Kwa nn Tanzania Haina mamlaka ya kuvunja huu uhuni wenu pasi na ridhaa ya hao bwana zenu? Kwa uchache jibu hayo.wewe unazijua terms na conditions za HGA, CONCESSION, NA LEASE AGREEMENT kati ya TPA na DP World?
Huwezi kupata hivyo vitu kwa sababu kilichopo siyo mkataba; utakuwa mjinga tu kupata hivyo vitu kutoka kwenye makubaliano. Wakili wenu kule mahakami Mbeya kasema hakuna mkataba- sasa wewe pinga hadi watakapo kwambia vinginevyoAcha ujinga. Na hutapata chochote zaidi ya kutumika kama toilet paper, leta majibu ya juu ya muda wa mkataba, Tanzania inapata nn ktk Kila muamala, Kwa nn sheria ya Mali asili za Taifa ya 2017 ikiukwe, Kwa nn DP WORLD wapewe Kila aina msamaha wa Kodi kadiri watakavyo, Kwa nn Tanzania Haina mamlaka ya kuvunja huu uhuni wenu pasi na ridhaa ya hao bwana zenu? Kwa uchache jibu hayo.
Naamini hata wazazi wakiona chapisho lako na kama wewe ni Mtanzania (sound mind) wanaweza kukukana.
Aliesema si mkataba ni nani?. Na kama si mkataba kazi ya bunge ilikuwa kujadili nn na wakapitisha nn?. Kwa mzaha mzaha wenu huu ndio mana watu wame opt kutumia maneno magumu majukwaani dhidi yenu ili kuwastua vichwa vyenu na Sasa imeanza kuwaingia.Huwezi kupata hivyo vitu kwa sababu kilichopo siyo mkataba; utakuwa mjinga tu kupata hivyo vitu kutoka kwenye makubaliano. Wakili wenu kule mahakami Mbeya kasema hakuna mkataba- sasa wewe pinga hadi watakapo kwambia vinginevyo
Ujaribu kwani wewe ni shareholder?Mkuu sawa hebu tujaribu pia hili
kwa arrangement ya Mbowe na Protea Hotel, kwa sasa Aishi Hotel ni mali ya nani? Je imeuzwa?
Tutasikia mengi na watu wataelewa mbichi na mbivuProtea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.
Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa kuyatumia makampuni yenye majina kuendeha biashara kuna tija na kunaongeza mapato. Kwa haiba yake ya upinzani najua asingependa serikali iogeze ufanisi wa bandari kwa kumtumia DP World ili isipate mapato mengi ambayo yataboresha utekelezaji wa ilani na mipango ya CCM na serikali yake
ABOUT PROTEA HOTELS
Protea Hotels is a South African hotel and leisure company headquartered in Cape Town, South Africa. As of December 31, 2018, it was the largest hotel company on the African continent, with 80 properties in ten countries with 8,497 rooms in addition to 14 hotels with 2,498 rooms in the pipeline. The company was named for the flowering plant Protea, which is unique to South Africa, and its logo features a representation of the flower.
Ujinga mzigo cjui nani kawaloga uvccm!! Kwann hamtaki kujadili hoja wanazopinga Kwenye huo mkataba? Uvccm mentality zenu za hivyo kbs!! Ishi humo 👇👇Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.
Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa kuyatumia makampuni yenye majina kuendeha biashara kuna tija na kunaongeza mapato. Kwa haiba yake ya upinzani najua asingependa serikali iogeze ufanisi wa bandari kwa kumtumia DP World ili isipate mapato mengi ambayo yataboresha utekelezaji wa ilani na mipango ya CCM na serikali yake
ABOUT PROTEA HOTELS
Protea Hotels is a South African hotel and leisure company headquartered in Cape Town, South Africa. As of December 31, 2018, it was the largest hotel company on the African continent, with 80 properties in ten countries with 8,497 rooms in addition to 14 hotels with 2,498 rooms in the pipeline. The company was named for the flowering plant Protea, which is unique to South Africa, and its logo features a representation of the flower.
Huna mada una upungufu wa ufahamMkuu mada zangu hata siku moja siyo za mipasho- pita kule
Limekuja ku test kina cha maji kwa kutanguliza miguu acha lizame.Huna mada una upungufu wa ufaham
Mleta mada utaendelea kuwa mpuuzi hadi lini?Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa kuyatumia makampuni yenye majina kuendeha biashara kuna tija na kunaongeza mapato.
We nyoko zako! usilinganishe na bandari zetu nyangau wahead! Sasa inabidi tutukane tu!Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.
Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa kuyatumia makampuni yenye majina kuendeha biashara kuna tija na kunaongeza mapato.
Kwa haiba yake ya upinzani najua asingependa serikali iogeze ufanisi wa bandari kwa kumtumia DP World ili isipate mapato mengi ambayo yataboresha utekelezaji wa ilani na mipango ya CCM na serikali yake.
ABOUT PROTEA HOTELS
Protea Hotels is a South African hotel and leisure company headquartered in Cape Town, South Africa. As of December 31, 2018, it was the largest hotel company on the African continent, with 80 properties in ten countries with 8,497 rooms in addition to 14 hotels with 2,498 rooms in the pipeline. The company was named for the flowering plant Protea, which is unique to South Africa, and its logo features a representation of the flower.
Mkuu muulize Mdude Chadema na wakili Boniface Mwambukusi walichosema mahakamani MbeyaAliesema si mkataba ni nani?. Na kama si mkataba kazi ya bunge ilikuwa kujadili nn na wakapitisha nn?. Kwa mzaha mzaha wenu huu ndio mana watu wame opt kutumia maneno magumu majukwaani dhidi yenu ili kuwastua vichwa vyenu na Sasa imeanza kuwaingia.
Kila siku nimefuatilia updates za hyo kesi Kwa de briefing ya mawakili Mwabukusi na mawakili wengine. Mdude si wakili wa hiyo kesi nimuulize nn Sasa?Mkuu muulize Mdude Chadema na wakili Boniface Mwambukusi walichosema mahakamani Mbeya