Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie babako na wewe akurithishe hoteli ufanye utakaloProtea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.
Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa kuyatumia makampuni yenye majina kuendeha biashara kuna tija na kunaongeza mapato.
Kwa haiba yake ya upinzani najua asingependa serikali iogeze ufanisi wa bandari kwa kumtumia DP World ili isipate mapato mengi ambayo yataboresha utekelezaji wa ilani na mipango ya CCM na serikali yake.
ABOUT PROTEA HOTELS
Protea Hotels is a South African hotel and leisure company headquartered in Cape Town, South Africa. As of December 31, 2018, it was the largest hotel company on the African continent, with 80 properties in ten countries with 8,497 rooms in addition to 14 hotels with 2,498 rooms in the pipeline. The company was named for the flowering plant Protea, which is unique to South Africa, and its logo features a representation of the flower.
Nyie vichwa maji hakuna anayepinga uwekezaji tatizo ni mkataba ndio mbaya na hakufuata taratibu za ushindani ( Sheria za manunuzi)!Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.
Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa kuyatumia makampuni yenye majina kuendeha biashara kuna tija na kunaongeza mapato.
Kwa haiba yake ya upinzani najua asingependa serikali iogeze ufanisi wa bandari kwa kumtumia DP World ili isipate mapato mengi ambayo yataboresha utekelezaji wa ilani na mipango ya CCM na serikali yake.
ABOUT PROTEA HOTELS
Protea Hotels is a South African hotel and leisure company headquartered in Cape Town, South Africa. As of December 31, 2018, it was the largest hotel company on the African continent, with 80 properties in ten countries with 8,497 rooms in addition to 14 hotels with 2,498 rooms in the pipeline. The company was named for the flowering plant Protea, which is unique to South Africa, and its logo features a representation of the flower.
Tanzania Wajinga Ni Wengi SanaKuna mtu yeyote amekataa uwekezaji??😳
Hakika Mtaji wa ccm ni wajinga.
Upuuzi MtupuView attachment 2705319
CHADEMA bila Lowassa ilionekana au ni chama kisichopenda wafanyabishara wala uwekezaji- haya yalisema mwaka 2015 na ni sahihi hadi leo hii
MKATABAProtea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.
Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa kuyatumia makampuni yenye majina kuendeha biashara kuna tija na kunaongeza mapato.
Kwa haiba yake ya upinzani najua asingependa serikali iogeze ufanisi wa bandari kwa kumtumia DP World ili isipate mapato mengi ambayo yataboresha utekelezaji wa ilani na mipango ya CCM na serikali yake.
ABOUT PROTEA HOTELS
Protea Hotels is a South African hotel and leisure company headquartered in Cape Town, South Africa. As of December 31, 2018, it was the largest hotel company on the African continent, with 80 properties in ten countries with 8,497 rooms in addition to 14 hotels with 2,498 rooms in the pipeline. The company was named for the flowering plant Protea, which is unique to South Africa, and its logo features a representation of the flower.
Hii ni ardhi ya tanzania, mali ya Tanzania. Iliuzwa kwa miaka 100 kwa makaburu, mlangoni kabisa kwa Mlima mtukufu wa Tanzania na Chuo cha Polisi kiluchokuwa kinaandaa Polisi wa nchi za kusini mwa Aftrika kupigania Uhuru.Rubbish, hotel ni mali binafsi ya Mbowe
Yupi afadhali, Mwarabu wa Dubai au Makaburu wa apartheid? Hoteli haihamishiki, bandari haihamishiki. Umeona mkataba wa mbowe? Si unajua kuwa ardhi ya Tanzania hamiikishwi mgeni, huu mkataba si unavunja katiba ya Nchi?Sasa Hotel binafsi za Mbowe zinatuhusu nini sisi watanzania?
Nani kasema Mbowe anapinga uwekezaji wa Bandari?
Sote tunapinga bandari zetu kumilikishwa milele muarabu wa Dubai. Mkataba wa DP world ni uhuni na wizi mtupu, hakuna uwekezaji pale.
Mamaa wee! Haka nako kametokea wapi, mbona kanatembea na fotokopi mkononi hata hakajui ina maana gani!Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.
Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa kuyatumia makampuni yenye majina kuendeha biashara kuna tija na kunaongeza mapato.
Kwa haiba yake ya upinzani najua asingependa serikali iogeze ufanisi wa bandari kwa kumtumia DP World ili isipate mapato mengi ambayo yataboresha utekelezaji wa ilani na mipango ya CCM na serikali yake.
ABOUT PROTEA HOTELS
Protea Hotels is a South African hotel and leisure company headquartered in Cape Town, South Africa. As of December 31, 2018, it was the largest hotel company on the African continent, with 80 properties in ten countries with 8,497 rooms in addition to 14 hotels with 2,498 rooms in the pipeline. The company was named for the flowering plant Protea, which is unique to South Africa, and its logo features a representation of the flower.
SawaHii ni ardhi ya tanzania, mali ya Tanzania. Iliuzwa kwa miaka 100 kwa makaburu, mlangoni kabisa kwa Mlima mtukufu wa Tanzania na Chuo cha Polisi kiluchokuwa kinaandaa Polisi wa nchi za kusini mwa Aftrika kupigania Uhuru.