Mbowe, kama ubia ni kuuza waondoe Protea Hotel kwenye uendelezaji, uboreshaji, na uendeshaji wa hotel yenu ya Aishi Machame

Model of doing successful business- bandari ni business kama ilivyo hotel
Unadhihirisha upo tu kati ya Mnanda anavurumisha vumbi, hata kunachoendelea hata madai huyaelewi.
 
Hahahaaa!! Kwani iyo ni mali ya uma? Kiongozi. Au unafikilia kupitia (......)
 
Mmeshindwa hoja mmehamia sasa kwenye private properties?

Yaani uendeshaji wa mali ya nchi mnalinganisha na mali binafsi?

With this kind of myopic thinking where are we heading as a nation?
Tunaongelea business modal siyo property mkuu- uwe unaelewa
 
Reactions: Obe
Unadhihirisha upo tu kati ya Mnanda anavurumisha vumbi, hata kunachoendelea hata madai huyaelewi.
sina mashaka na uwezo wako wa kufikiri ILA nina mashaka makubwa sana na namna unavyofikiri
 
Hivi umesoma mkataba wa DPW? Ni wapi wanasema ni partnership, ni wapi wanasema majukumu ya dpw ni haya, si wanataja majukumu ya serikali yetu kwa wingi sana? DPW atapewa hiki, anahakikishiwa kupata hiki, nk.
Na kwa ujinga zaidi soma article 23 (4)
 
Hahahaaa!! Kwani iyo ni mali ya uma? Kiongozi. Au unafikilia kupitia (......)
Hatuongelei mali ya umma, tunaongela namna ya kufanya biashara. Kami si mali ya umma, wewe ndiye Mbowe? mbona umekuja kuchangia hapa, hiyo hoteli inakuhusu?
 
Reactions: Obe
hivi umesoma mkataba wa DPW? Ni wapi wanasema ni partneship, ni wapi wanasema majukumu ya dpw ni haya, si wanataja majukumu ya serikali yetu kwa wingi sana? DPW atapewa hiki, anahakikishiwa kupata hiki, nk.
Na kwa ujinga zaidi soma article 23 (4)
Mkuu, usinione mie sina akili; kwa nini nisisome mkataba wote; why article 23(4)?
 
....ni mtu anayefuatilia sana mkataba huu tena kwa kwa ukaribu sana, hivyo anaujua sema labda tukirejea hapo kwenye hoja yako ya kupewa 10 ndiyo kumempofusha. Vinginevyo comte ana hoja na anakaribisha majadiliano kwenye kila uzi wake.
Mkuu asante, shida ya watu wetu wengi humu ni ZERO kwenye discussion; wana ARGUE tena kijnga sana na matusi kwa wingi. Serikali ni collection ya individual action and inaction. Mie kinachonishangaza ni vipi Mbowe ashangae serikali kuchua modal yake ya Protea Hotel?
 
Unadhani uko sahihi na unafikiri umeelewa nilichoweka kijadiliwe?
 
Mbona mnajidhalilisha sana,jibuni hoja,mkataba ni wa miaka mingapi n Tanganyika tutapata nn?
 
Tunaongelea business modal siyo property mkuu- uwe unaelewa
As long as properties are involved hizo biashara zina assests ndani yake na ndio thamani ya hizo biashara tukija kwenye returns.

Yaani unataka kusema gharama ya kuhudumia gari ya Rais itakua sawa na binafsi as long as eti zote zitafanyiwa wheel balance and alignment?

Japo zote zitakuwa gari ila nyingine ina additional features kama bullet proof ,bomb detectors na kadhalika..
 
Mbaya utakuta mtu kama huyu yupo kwenye ngazi za maamuzi za nchii hii...Mungu aingilie kati
 
Kwahiyo mali umma mmeona ni sawa na mali ya familia?
 
Umeongea kama papai. Hebu tusaidie kutuonyesha mkataba wa protea tuone na wenyewe mbowe walivyopigwa .
 
Mkuu sawa hebu tujaribu pia hili
kwa arrangement ya Mbowe na Protea Hotel, kwa sasa Aishi Hotel ni mali ya nani? Je imeuzwa?
 
None sense post. ungeweka hapa terms and conditions za mikataba ya hizo protea afu tuone aina ya uwekezaji na Kila mbia anapata/anakosa nn tungeweza kukuelewa. Ivi Kwa nn mnashindwa kujielekeza kwenye hoja za watoa malalamiko ya hili dude mlilojipa jukumu la kulitetea?
 
Umeongea kama papai. Hebu tusaidie kutuonyesha mkataba wa protea tuone na wenyewe mbowe walivyopigwa .
Mkuu mada zangu hata siku moja siyo za mipasho- pita kule
 
wewe unazijua terms na conditions za HGA, CONCESSION, NA LEASE AGREEMENT kati ya TPA na DP World?
 
Mbona mnajidhalilisha sana,jibuni hoja,mkataba ni wa miaka mingapi n Tanganyika tutapata nn?
Mkuu la mkataba limeshaisha mawakili wenu kule Mbeya wamesema hakuna mkataba kwa sababu unakosa CONSIDERATION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…