Mbowe, kama ubia ni kuuza waondoe Protea Hotel kwenye uendelezaji, uboreshaji, na uendeshaji wa hotel yenu ya Aishi Machame

Wewe ni mkundyuuu unijielewi kabisa Mbowe kakataa uwekezaji? Kwa nini usikatwe bichwa lako la ovyo hivo unaaanfika ugese jf pumbuwazi wewe
 
Mwambie babako na wewe akurithishe hoteli ufanye utakalo
 
Nyie vichwa maji hakuna anayepinga uwekezaji tatizo ni mkataba ndio mbaya na hakufuata taratibu za ushindani ( Sheria za manunuzi)!
Mbona nyie wajinga hamfundishiki!
 
MKATABA
MKATABA
MKATABA
 
Rubbish, hotel ni mali binafsi ya Mbowe
Hii ni ardhi ya tanzania, mali ya Tanzania. Iliuzwa kwa miaka 100 kwa makaburu, mlangoni kabisa kwa Mlima mtukufu wa Tanzania na Chuo cha Polisi kiluchokuwa kinaandaa Polisi wa nchi za kusini mwa Aftrika kupigania Uhuru.
 
Sasa Hotel binafsi za Mbowe zinatuhusu nini sisi watanzania?

Nani kasema Mbowe anapinga uwekezaji wa Bandari?

Sote tunapinga bandari zetu kumilikishwa milele muarabu wa Dubai. Mkataba wa DP world ni uhuni na wizi mtupu, hakuna uwekezaji pale.
Yupi afadhali, Mwarabu wa Dubai au Makaburu wa apartheid? Hoteli haihamishiki, bandari haihamishiki. Umeona mkataba wa mbowe? Si unajua kuwa ardhi ya Tanzania hamiikishwi mgeni, huu mkataba si unavunja katiba ya Nchi?
 
Mamaa wee! Haka nako kametokea wapi, mbona kanatembea na fotokopi mkononi hata hakajui ina maana gani!
 
Hii ni ardhi ya tanzania, mali ya Tanzania. Iliuzwa kwa miaka 100 kwa makaburu, mlangoni kabisa kwa Mlima mtukufu wa Tanzania na Chuo cha Polisi kiluchokuwa kinaandaa Polisi wa nchi za kusini mwa Aftrika kupigania Uhuru.
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…