Mbowe kauza utu wake. Hakutakiwa kukubali kulamba asali kirahisi namna hii

Mbowe kauza utu wake. Hakutakiwa kukubali kulamba asali kirahisi namna hii

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mwanaume unatakiwa kukubali mateso kama anavyokomaa Sabaya.

Kwa nini unakubali kuuza utu wako kisa tu mateso?
image_search_1655535199665.jpg
 
Mwanaume unatakiwa kukubali mateso kama anavyokomaa Sabaya.

Kwa nini unakubali kuuza utu wako kisa tu mateso?
View attachment 2264505
Alivo kaa gerezani kwa miezi 9 nyie mnao jifanya wazalendo mlimsaidiaje, mlicanga pesa yote kupelekea familia yake, katika wana siasa walio jitolea sana kulinda heshima ya upizani ni mbowe, ila wa tznia walimsaliti sana.
 
Sabaya alikomaa kwa kipi? State iliamua kumfanyia DEMO ili iwe red alert kwa top officials wengine ambao wanafanya maovu kwa mgongo wa KIONGOZI MKUU.

State Ilishamfilisi hadi akashindwa kulipa legal fee ya wanasheria wake, wakajitoa. Baada ya kumuonyesha kuwa he is nothing mbele ya state wamemuachia in a technical way.

Hutosikia anafungua kesi sijui kudai fidia au kufungwa kimakosa, he will be a good citizen.

Unakumbuka Zombe alipotaka kuidai Serikali fidia nini kilimkuta? Walimwambia ukidai fidia basi tunafanya review ya kesi na kukushtaki upya. Where is he?! Katulia tulii.
 
Unajua Mbowe amekomaa kwa mangapi? Unajua alipokwa na kunyang'anywa vingapi? Unajua mahabusu, magereza imekuwa nyumbani kwake?!
 
Mwanaume unatakiwa kukubali mateso kama anavyokomaa Sabaya.

Kwa nini unakubali kuuza utu wako kisa tu mateso?
View attachment 2264505
Hata kama ungekuwa wewe ungeachaje kumsifia Rais Samia?
Jaribu kuvaa viatu vya Mbowe uone mapito aliyopitia. Magufuli alimharibia biashara zote zinazompa kipato kuanzia Bilicanas hadi shamba la maua pale Machame. Kisha akakomba fedha kwenye akaunti zake zote.

Isitoshe alitaka kumuua ndipo TISS waliokuwa hawapendezwi na hila za Mwendazake wakamtonya akatorokea Dubai kupitia Kenya pale baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Kwa mapenzi ya Mungu amekuja Rais Samia asiyependa dhulma amemrudishia fedha zake, JE MBOWE anaachaje kumsifia?

Kule Ukonga alikuwa peke yake na hakuna mwana CDM alikwenda kumsaidia kifungo. Muacheni apange maisha ya kizazi chake. Kama mnataka maadamano na mikutano anzisheni vyama vyenu. Mbona Msajili wa vyama yupo na ofisi iko wazi!!
 
Sabaya alikomaa kwa kipi? State iliamua kumfanyia DEMO ili iwe red alert kwa top officials wengine ambao wanafanya maovu kwa mgongo wa KIONGOZI MKUU.

State Ilishamfilisi hadi akashindwa kulipa legal fee ya wanasheria wake, wakajitoa. Baada ya kumuonyesha kuwa he is nothing mbele ya state wamemuachia in a technical way.

Hutosikia anafungua kesi sijui kudai fidia au kufungwa kimakosa, he will be a good citizen.

Unakumbuka Zombe alipotaka kuidai Serikali fidia nini kilimkuta? Walimwambia ukidai fidia basi tunafanya review ya kesi na kukushtaki upya. Where is he?! Katulia tulii.

inafikirisha sana aisee na inachekesha sana kwa mtu ambaye hajui state machinery....
 
Back
Top Bottom