Mbowe kuachiliwa, pigo kubwa kwa wasiotutakia Mema kama Nchi

Mwenyekiti kaomba "poo".....

Hii bagosha

Unawasikiliza kina Kamanda Asiyechoka shingoni:



kuwa ndiyo wasemaji wake au wa CDM?

Mambo iko huku:

Your browser is not able to display this video.


Tambua nia njema ya siasa za kistaarabu imekuwa ikipotoshwa na wanyoa viduku na wenye kutupia jezi za Yanga Afrika hawa:



Kumbuka mama katamka ,hii nchi ni yetu sote.

Nani kama Mama?

Ishindwe na ilegee timu hii:



Au nasema uongo ndugu zangu?
 




Mwenyekiti kaomba "poo".....

Hii bagosha



Itifaki imezingatiwa

Watu walizungumza sanaaa lakini akishazungumza mkuu mazungumzo yanakua yamehitimishwa na kufungwa rasmi
 
Kuna watu watakonda sana Mwaka huu. Si kwa mapigo haya.

Juzi Ubelgija jana Ikulu.

team roho mbaya watafute kazi nyingine
 
Naunga mkono hoja.

Tujenge nchi yetu kwa upendo, amani na utulivu.

Tunajenga nchi moja.
mimi sijui kwa nini wana ccm wanaumizwa na hali hii ya amani inayochipua nchini mwetu.

Kumbe wanapenda vita na migogoro. Basi ni watu Duni.
 
imekula kwao Team Lumumba roho mbaya fc
 
🤣🤣🤣

Wamemwagika na kumwagwa kutupia kila jambo hata kama la kijinga kutafuta pa kutokea.

La Mbowe limebuma wala isiwe taabu.

Tujenge nchi sasa. Kwenye ujenzi huo:

1. Katiba mpya
2. Hatima ya mikutano ya kisiasa
3. Kurejea kina Lissu
4. Mkutano na Mama kama chama

Kwetu ni vipaumbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…