SI KWELI PreGE2025 Mbowe kufanya mkutano na waandishi wa habari Mei 19, 2025

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Source #1
View Source #1
Wakuu,

Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu?

Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini kufanya watu tusifatilie kesi ya Lissu!

Lakini nasema nini, hakuna kitu kitatrend leo zaidi ya kesi ya Lissu.... chawa nawasalimu 😂 😂 😂 JamiiCheck tunaomba uhakiki wa hii taarifa

IMG_20250521_213515_271.JPG
 
Tunachokijua
Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) aliyemaliza muda wake mwaka 2024 baada ya kushindwa uchaguzi na Tundu Lissu ambaye ndiye mwenyekiti wa sasa.

Mara baada ya uchaguzi huo kupita kumekuwapo na sintofahamu nyingi ndani ya chama na kuonekana kuwa na makundi tofauti tofauti na hivyo kupelekea baadhi ya wananachama kuhama CHADEMA hususani wale wanaosema walikuwa wakimuunga mkono Mbowe wakati wa kampeni. Watu wengi wamekuwa wakijiuliza pia iwapo Mbowe naye kama atahama chama.

Madai

Katika mitandao ya kijamii kumekuwapo na kipeperushi "poster" yenye picha ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe huku kikiambatanisha na ujumbe kuwa atafanya mkutano na waandishi wa habari kwenye hotel ya LandMark

Uhalisia wa madai hayo

JamiiCheck imefuatilia na kubaini kuwa taarifa hiyo si ya kweli. Ufuatiliaji umebaini kuwa kipeperushi ama taarifa hiyo haikutolewa ama kuchapishwa na chombo chochote cha kuaminika ukizingatia na uzito wake.

JamiiCheck ilifuatilia pia katika kurasa za mitandao ya kijamii ya Mbowe ambapo hakukua na taarifa hiyo ya kuhusu yeye kufanya mkutano na waandishi wa habari. CHADEMA pia hawakuchapisha taarifa hiyo ukizingatia Mbowe ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu na aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho.

JamiiCheck iliwasiliana na Freeman Mbowe mwenyewe ambaye alikanusha taarifa hiyo
Hii ngoma CCM wanakatika kila style .🤣🤣🤣 Ili mradi tu kufifisha mambo.
 
Ni mjinga tu ndio anaweza kuwaza upumbavu kama wako.... Mbowe ana nguvu gani ya kuiua chadema ambayo ina watu kila kona ya nchi hii?. Mbowe hajafanya jambo la maana katika Taifa hili kufikia kuiua chadema.
 
Vipi akijitokeza na kuwakana wale G55 kama alivyofanya Bon Yai!
 
Wakuu,

Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu?

Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini kufanya watu tusifatilie kesi ya Lissu!

Lakini nasema nini, hakuna kitu kitatrend leo zaidi ya kesi ya Lissu.... chawa nawasalimu 😂 😂 😂 JamiiCheck tunaomba uhakiki wa hii taarifa

Hao ni CCM tu hakuna press ya Mbowe
 
Chama hakiwezi kufa ondoa hilo wazo chadema ni imani
 
Wakuu,

Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu?

Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini kufanya watu tusifatilie kesi ya Lissu!

Lakini nasema nini, hakuna kitu kitatrend leo zaidi ya kesi ya Lissu.... chawa nawasalimu 😂 😂 😂 JamiiCheck tunaomba uhakiki wa hii taarifa

Sasa nani atamsikiliza? Watamsikiliza ma CHAWA wa CCM sisi tupo bize kisutu
 
Baba wa demokrasia
Dalali wa kisiasa
Mzee wa busara
Mfanyabiashara
Mwanadiplomasia mahiri
Muzee ya dili
Muzee ya totoz
Muzee ya sumu usiilambe
Muzee ya gambe
Muzee ya .............
 
Wakuu,

Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu?

Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini kufanya watu tusifatilie kesi ya Lissu!

Lakini nasema nini, hakuna kitu kitatrend leo zaidi ya kesi ya Lissu.... chawa nawasalimu 😂 😂 😂 JamiiCheck tunaomba uhakiki wa hii taarifa

Atakufa mwenyewe! Sisi mashabiki wake tumeshasalimu amri kwamba uchaguzi tulishindwa! Chama ni taasisi siyo mtu!
 
Wakuu,

Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu?

Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini kufanya watu tusifatilie kesi ya Lissu!

Lakini nasema nini, hakuna kitu kitatrend leo zaidi ya kesi ya Lissu.... chawa nawasalimu 😂 😂 😂 JamiiCheck tunaomba uhakiki wa hii taarifa

[/QUOTE
Mhhhh
 
Mti wenye matunda mengi ndio hupigwa mawe. Hilo tangazo kalitoa nani
 
Bonny yai alishatoa uelekeo,hakuna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom