Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

Na bado, huku "carrot and stick" kule ni ...kazi tu...

Ukweli ni kwamba kukosa pesa haichafui jina la nchi.

Na kama jina limechafuka basi ni kwa sababu hizo mbili kuu...Kuhusu Uchaguzi Zanzibar na mchakato endelevu pamoja na hiyo cybercrime/statistics laws.

Wacha tukose fedha lakini sio uwerevu wa kuona haya yawe na kiupambele na yafanywe kwa uangalifu mkubwa.Lakini, yafanyike. Naamini Rais ataonyesha ujasiri kwenye hili la uchaguzi, na bunge kwenye hiyo sheria ya mtandaoni bila kujali vishinikizo vya nje ,medani yetu itaendelea kung'ara tu.
 
Mbowe hatutaki misaada. Nchi hii haiwezi kuendeshwa kwa misaada.lazima tujenge uchumi wetu wenyewe kwa kujitegemea. Inamaana nyie chadema mkishika serikali kazi yenu ni kutegemea misaada? Hamna nia njema na nchi hii.ndio maana mnapewa masharti ya kuruhusu ushoga ili mpewe fedha za misaada.
 
Back
Top Bottom