Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

sipendi kitu kinaitwa msaada toka kwa watu weupe hapo mbowe na kama ndo msimamo wa chadema siungi mkono hata kidogo...pesa zao wakae nazo na ss tukae na vyetu.

Mwaka juzi balozi WA Uingereza alisema bajeti ya Tanzania Ni ndogo. kuliko fedha zinazotumika London kununua CD's
Bado hatujitoshelezi
 
Povu tupu point hakuna.Wewe unamnyazisha Mbowe kama nani,hata mtoto ana haki ya kutoa maoni yake bila bugdha.ulitaka aseme nini kuhusu Zanzibar?Eti Lipumba,kana kwamba misimamo ya Mbowe na Lipumba kuhusu Zanzibar na cybercrime ni tofauti

Hata mie simuelewi anaongelea nini huyu mbwiga. Au ndio offer za friday night zimeanza kumchukua? Hawa ndio wale wanaishia kulala mtaroni kwa kufakamia offer bila staha, ona saa hizi tuu tayari yuko bwii anapost ulevi!
 
Hao MCC wakae na vihela vyao huko. Wasitubabaishe. Mbowe kaa kimya mzee...acha kutupigia kelele.
 
Katika watu ambao sitakaa kuja kuwaamini ni huyu mbowe, nadhani wananchi watampuuza.Tanzania ni nchi huru, hatupo tayari kuyumbishwa.Nahisi hivi vyama vingine vipo tayari hata kuingiza ndoa za jinsia moja ili mradi tupate misaada.
 
Mkuu inaonekana wataka siasa lakini huijui, kwa sasa mbowe ana nguvu zaid kuliko b4 kumbuka ana wabunge wengi madiwani na mameya pia, ujaji wa lowasa umempa nguvu sana mbowe kuliko wakati wa slaa
 
Mbowe alifanya makusudi kumpokea Lowassa ili apige pesa tu.

Hivi zezeta lile unategemea kweli chadema ingeshinda?
 
Mkuu, uzuri ni kuwa unajua kabisa Mbowe hatakaa kimya. Mimi pia sipendi misaada, lakini pinganeni kwanza na wale watu wenu ambao huwa wanapenda kusema kuwa nchi ni kubwa na ka-bajeti husika ni kadogo, hakatoshi! Lakini pia mkuu, hata tukijitosheleza hatupaswi kakanyaga matakwa na maamuzi ya wazanzibar.
Kwa mwanajamvi yeyote anikumbushe.... Chenge yuko chama gani?! Tusiopenda ufisadi mbona huwa 'tunasahau' kumtaja kama mmoja wa waheshimiwa wenye tuhuma nyingi mno za ufisadi nchi hii? Na mwenyekiti wa ccm ana tuhuma ngapi na tangu lini?!
 
Hivi mbowe vile vibillion alivyo sepesha sauz kurudisha? Au ndo kapata sababu ya kuua winga!!?
 
Hivi nyie hamjachoka tu na kuwa omba omba ukizingatia utajiri tulionao???? Let's be positive and supportive to our president together we can. Just ask yourself how does mcc relate to internal matters? It's just another form of neo colonialism which we have to fight against. Obama alikuja bongo akacheza mpira pale ubungo na kelele zake za power Africa umeona chochote hadi leo?

mbona tumewapa wazungu kila kitu..au wewe hujui geita gold nk.... huko mbugani ndio useme wazungu wamejenga mpaka viwanja vya ndege
tanzanite..almasi mhhhh wewe hebu fikiria tena
 
mbowe anafurahia sisi tukiwa omba omba milele lakini yeye ana mapesa huko nje ya nchi. badala ya kushauri namna ya kuongeza pato la taifa ili kufidia hili gap anazidi kuunga mkono mabeberu wenzake.

Ombaomba ni rais wako wa CCM.
 
Hizo fedha za MCC ndizo zilizofanya ndugu zenu waishio vijijini kupata umeme. Kama Magufuli ana dhamila ya dhati kusaidia Taifa hili hana budi kutatua mgogoro wa zanzibar haraka sana. Nashangaa kuona watu wanamshabikia Magufuli kama timu ya mpira. Sasa naanza kuamini tafiti zilizoonesha kuwa "BLACK PEOPLE ARE NOT AS SMART AS WHITE"
UkisikiA UTUMWA WA AKILI NDO HUU. Kazi kuramba nanhii za wazungu. Nyerere angekuwa na akili kama zako hata asingedai uhuru.
 
UkisikiA UTUMWA WA AKILI NDO HUU. Kazi kuramba nanhii za wazungu. Nyerere angekuwa na akili kama zako hata asingedai uhuru.
Ungejiuliza kwanza bajeti ya nchi yako iliyopitishwa na wabunge wako wa CCM ambao walikuwa zaidi ya 80% bunge LA bajeti, bajeti hiyo inaonyesha utegemezi in % ngapi halafu utafakari watumwa wa akili ni akina nani.
 
Mwambieni Mbowe hatutaki misaada, na yale mapesa ameficha nje ayarudishe haraka.

Ujue kikwete. Keshaondoka? Kwa hio usidhani kuwa hapo bandarini kina mwanya wa kuiba tena.
Njaa ikipoga inapiga kwa wote hata wewe hapo mwizi wa makontena
 
mbowe anafurahia sisi tukiwa omba omba milele lakini yeye ana mapesa huko nje ya nchi. badala ya kushauri namna ya kuongeza pato la taifa ili kufidia hili gap anazidi kuunga mkono mabeberu wenzake.


Huyu mangi ni janga la taifa..,

Hawa ndio walikuwa wanambeza JK kwa kuwa ombaomba na mpenda misaada. Leo hii wanalilia kukosa msaada. WTF?

Hivi kuna watu wana-support kiongozi wa aina hii with a straight face? Regardless ya wrongs za CCM huko ZNZ, Mbowe hakutakiwa kushupalia kukosa msaada kwa serikali wakati wao wimbo wao ulikuwa kumbeza JK kwa kupenda misaada.

Huyu Jamaa IQ yake kiduchu sana kupambanua vitu, CHADEMA mna mzigo hasa
 
mbowe ni kiongozi zero kabisa , yaani anatoa kauli alafu anatumia neno NAMTAKA Rais , yeye kama nani atoe command ,

analilia nchi kupewa misaada huyu aisee kweli n mpinzani haangalii maslahi ya taifa Bali upenyo wa kuongea
 
Kwa hiyo Mbowe anamtaka Rais afanye hayo! Kweli sijaona upinzani wa kijuha kama wa hapa kwetu, walisema hawamtambui, walisema hawatashirikiana nae kwa lolote, sasa huu ushauri wa kumtaka wa nini? Wao nchi ikikosa pesa wanaumia nini? Sindio wanatamani kuona serikali haifanikiwi kwa lolote!!?
 
Back
Top Bottom