Mbowe kuna baadhi ya wana Ukawa mpaka leo hawazungumzi naye. Aliwauza Dr. Slaa

Kama huyo padre aliyekengeuka aliyajua hayo tangu 2015 kwa nini amekuwa akibembeleza arejee CHADEMA ya Mbowe? Unajua kabisa unauzwa ,lakini bado unamg'ang'ania anayekuuza!.

Hivi kati ya Slaa na Mbowe nani amethibitika kujiuza kwa CCM? Pale Sheraton hotel alifichwa na baadae aliandaliwa press kwa uratibu wa Mwakyembe au anadhani watu wamesahau.

Sasa hivi huyo padre muasi hana thamani hivyo hana cha kuiuzia CCM hivyo anafosi kurejea CHADEMA ili akipata thamani ajiuze tena.

Mke amemkimbia, hana familia amebaki kulia na Mbowe.
 
Aisee kumbe. Yuda askariyote
 
Swala la kujilipa ruzuku kwa kisingizo cha kukikopesha Chama kumbe kipo toka enzi za akina Chacha Wangwe
 
Porojo tupu,mlikuwa wapi!?hizi sio kampeni za kutafuta kura,Dr Slaa ana zuri gani la kumzidi Mbowe,yeye si ndio alikuwa wa kwanza kukimbia chadema!?
Kasome waraka wa Chacha Wangwe wa mwaka 2005 ndo ujue hya mambo hayajaanza leo
 
Kwa yanayoendelea sasa na hela ya Abdul ilivyoivuruga chadema naweza kuamini ,Mbowe siyo wa kumuamini tena
 
...
Sasa hivi huyo padre muasi hana thamani hivyo hana cha kuiuzia CCM hivyo anafosi kurejea CHADEMA ili akipata thamani ajiuze tena.

Mke amemkimbia, hana familia amebaki kulia na Mbowe.
... THINK TWICE! ... don't think twice! ... don't think twice! ๐ŸŽผ๐ŸŽผ๐ŸŽผ๐ŸŽน
๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ