Hajamalizana na wapambe wanaomzunguuka,anataka kuwalipaWakuu,
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amewashangaa wanaomuonea huruma na kumtaka aondoke madarakani kwasababu tayari ametimiza mambo mengi.
Mbowe ambaye pia anatetea nafasi yake ya Uenyekiti, ameongeza pia kwamba anaamini huu ndio muhula wake wa mwisho madarakani huku akisisitiza kwamba ana ndoto anayotaka kuitimiza kabla hajaondoka madarakani.