Pre GE2025 Mbowe: Kuna kitu nataka nikisukume, wanaotamani nipumzike huruma inatoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hajamalizana na wapambe wanaomzunguuka,anataka kuwalipa
 
Toka we babu hakuna anayekutaka zaidi ya majizi menzako akina mrema na akina kigaila. Huna jpya lolote utakaloleta zaidi ya rushwa utakayopewa.
 

Huyu mwamba na washirika wake Haina shaka hata Maria alipotekwa waiiserebuka!

fazil, imhotep waliomo na wasiokuwamo au nasema uongo?
 
Mbowe anaweza kuona kuwa ana akili, ari, mipango lakini si kwa wakati huu tuliona nao... ku-deal na siasa za ccm hazitaka mtu mlaini, mwororo.
 
Nauliza tu ndugu zangu makamanda Uchwara huyu Mbowe mbele ya shujaa Magufuli angegombea Uenyekiti Chadema?

Ni hilo tu 😂
 
Ndoto miaka 20 ? Au ni malue lue na mauza uza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…