Ni haki yake kuendelea kama ilivyo haki wa wanaotaka kumtoa wamtoe..., kwa ustaarabu yeye angeamua kutoka angetoka (sio kumshinikiza) na akibaki wanaotaka kumtoa wamtoe (kwenye box la kura) na sio kumfukuza wala kumtishia... Nadhani huo ndio utaratibu waliojiwekea wenye Chama chao...