Konyagi inajimix vizuri kwenye chopa.Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Niko upande wa Msemakweli ni mpenzi wa Mungu wa Mbinguni 😃Joh sijawahi muelewa yupo upande upi. Kila sehemu anashabikia iwe kwa mama yupo kwa Lissu pia yupo
Mbona kaanza mikutano muda ila hakukua na hiyo chopa??Na Tundu Lisu 😃
Utaona hata majukwaa yatakavyokua ya kisasa sio kama Lissue anasimamia kwenye matofali haliopangwa et ndio jukwaaSwali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Utaona hata majukwaa yatakavyokua ya kisasa sio kama Lissue anasimamia kwenye matofali haliopangwa et ndio jukwaa😂😂😂😂 Nimejikaza nisicheke ila nimeshindwa
aliempa ulemavu kibaadam ndio anatakiwa amuonee huruma amsaidieSwali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
umesaidia nini katika hizo harakati? au unalaumu tu? Husikii Palestina huko umoja waliokuwa nao?Haijalishi Nani anafanya kampeni na usafiri gani, iwe kwa Magari (haya ya gharama) ama Kwa Chopa, bila kuwa na tume huru ya uchaguzi¹, ni Sawa na kumpigia Mbuzi Gitaa.
"Mnatutimulia Vumbi wapiga Kura"
Kifupi mnatuboa.
Jamaa ni vuguvuguJoh sijawahi muelewa yupo upande upi. Kila sehemu anashabikia iwe kwa mama yupo kwa Lissu pia yupo
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lisu na wanasema Chadema imepasuka Watasubiri sana
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lisu
Mlale Unono 😃😃🔥
Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X
Ukiona hivyo ujuwe kimeeleweka. Yaani Mbowe amekubali kumgawia hela Lissu wanazosema zimetoka kwa Abdul. Hakuna mkate mgumu kwenye chaiMwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lisu na wanasema Chadema imepasuka Watasubiri sana
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lisu
Mlale Unono 😃😃🔥
Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X
Huo ndo uchongani sasa. Labda itoshe tu kusema muda wa kutumia chopa umefika ili kuongeza speed.Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Mkuu Jose anazingatia kanuni ya kutokuwa na urafiki au uadui wa kudumu isipokuwa maslahi ya kudumu!! Yeye mahaba sio jukwaani hapa, chumbaaaaani🤣🤣🤣Joh sijawahi muelewa yupo upande upi. Kila sehemu anashabikia iwe kwa mama yupo kwa Lissu pia yupo
Kadai yupo upande wa msema kweli. Kauli yake imekaa kimtego sanaMkuu Jose anazingatia kanuni ya kutokuwa na urafiki au uadui wa kudumu isipokuwa maslahi ya kudumu!! Yeye mahaba sio jukwaani hapa, chumbaaaaani🤣🤣🤣
Unajiuliza swali la kitoto sana.Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Kwani Lissu amelalamika?Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe